Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

Oa mkuu, lakini akiwasiliana na mzazi mwenzie ukubali. Hata akikuambia hawawasiliani ujue kabisa unadaganywa. Kwahio uwe tayari mkeo kuwa anasumbuliwa na mwanaume mwenzio. Kama angekua nimwanamke bora basi mzazi mwenzake angemchukua wewe anakuigizia.

Vinginevyo kama mzazi mwenzie ashatoweka duniani ndio utakua na amani. Lakini pia kama mtoto wake niwakiume utapata shida badae, watoto wakiume huwa wanapenda mama zao wapandwe na wazazi wao tu nasivininginevyo.

Pia uwe wahudhuria vikao vya wanaume ujue nafasi ya single mother niipi.
 
Habari za Usiku wana jf . Kuna mdada Nmempenda Sana. Natamani nmuoe lakini ana mtoto mmoja na mm sina. Mtoto ana miaka 6 . Naomba ushauri tafadhali
Kwani mtoto wa miaka 6 atakupa shida gani? Katika maisha yako hautalea ndugu na jamaa katika dunia hii? Oa kwani akizaa anabadilika nini? Kuna watu hawana watoto wametumika zaidi ya gari za mbagala.
 
Back
Top Bottom