Mak uko sawa,hakuna umasikini mbaya kama wa mawazo! hasa mazuri!nimedharau sana uelewa wako juu ya hao uliowaita madikteta. Ni bora nchi iongozwe kidikteta na mambo yaende kuliko nchi iongozwe kudemokrasia na mambo yake yawe kama bongo. Leo hii ealibya wanajutia maamuzi yao. Hawatopata tena fursa ile waliyoipata kwa gadafi.
nimedharau sana uelewa wako juu ya hao uliowaita madikteta. Ni bora nchi iongozwe kidikteta na mambo yaende kuliko nchi iongozwe kudemokrasia na mambo yake yawe kama bongo. Leo hii ealibya wanajutia maamuzi yao. Hawatopata tena fursa ile waliyoipata kwa gadafi.
Mkuu Tofauti kubwa ni kwamba udikteta wa Bush ulikuwa ni wa muda wenye kikomo . Hakuwa na ruhusa ya kuendesha udikteta wake maisha yake yote na pia kumrithisha mwanaye.Shida ni tafsiri ya dikteta!
Hivi,George Bush wa marekani na Gaddafi wana tofauti zipi?
Infact bush anamzid udikteta,lakin ni magaid wasio na zana na uwezo wa kifedha ndio wanao andamwa wakati magaidi matajiri au wale vibaraka wa magaid matajiri wanatamba na kusifiwa na vyombo vya habari vya magaid matajiri!
Waulize walibya baada ya kumuua gadafi,
1) hawajui mafuta yanaenda wapi
2) wapo kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe
3) benefit zote walizokuwa wakizipata zinaanza kuota mbawa
Angalia hii ya leo:
PressTV - 'Tribal clashes killed over 147 in southern Libya'
nimedharau sana uelewa wako juu ya hao uliowaita madikteta. Ni bora nchi iongozwe kidikteta na mambo yaende kuliko nchi iongozwe kudemokrasia na mambo yake yawe kama bongo. Leo hii ealibya wanajutia maamuzi yao. Hawatopata tena fursa ile waliyoipata kwa gadafi.
Hatutaki
marais wapya kila asubuhi tunataka maisha waliyokuwa wakiishi watu wa
libya kipindi cha utawala wa ghadaf,
Mkuu Tofauti kubwa ni kwamba udikteta wa Bush ulikuwa ni wa muda wenye kikomo . Hakuwa na ruhusa ya kuendesha udikteta wake maisha yake yote na pia kumrithisha mwanaye.
mkuu unamanisha bush mkubwa au mdogo?mkubwa alimrithisha bush mdogo,yani mwanaeMkuu Tofauti kubwa ni kwamba udikteta wa Bush ulikuwa ni wa muda wenye kikomo . Hakuwa na ruhusa ya kuendesha udikteta wake maisha yake yote na pia kumrithisha mwanaye.