General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,301
- 23,023
Wakuu nimepata scholarship ya kwenda kusoma Master chuo cha University of leeds. Nimeambiwa lazima nifanye mtihani wa IELTS.
Kwanza nikiri kwamba kingereza cha kuongea nipo shallow ila kuandika niko freshi. Sina practice nyingi katika kuongea hali inayosababisha kuyatafuta maneno ya kingereza kichwani pindi ninapo ongea na kusababisha kutojiamini na kigugumizi kikubwaa.
Hii imetokana na shule nilozo soma kwani zote ni za kata kuanzia O-level mpaka A-level.
Nahisi hata combination zimechangia mana nilichukua mchepuo wa pcb.
Sasa nauliza ni wapi naweza pata chuo ambacho within 2 months nitakuwa vizuri?
Na je hiyo test inafanyika wapi?
Ninakisikia chuo cha british counselor kipo vzr ila sijui kipo wapi