Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,273
- 42,218
Shida pia ni umri! Hapo Mungu alishachungulia kwenye mkeka wa Mama akaona kijana atoboe ngoja ambless kwenye mikataba ndio atajipata sasa yeye analeta ujuaji na utoto mwingi as if ni mtoto wa dada yake Mama Kizimkazi so sad na inatia hasira 😭😭😭😭😭😭Ukiacha hiyo ta mkataba hata hizo unataka utakosa utasugua benchi mpaka pumbu zichakae😁