Elections 2010 Nimeota ndoto nzuri

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,882
2,762
Wadau nimeota ndoto. Ni kama tarehe 1 nov hivi ambapo zoezi la kuhesabu kura za urais linaelekea kukamilika. Taarifa zisizo rasmi ni kuwa Dr Slaa anaongoza kwa kura kwa %85 hivi. Nchi nzima imeshikwa ganzi kwa yanayoendelea. Ukimya umetawala kila kona huku wana wa nchi wakitafakari hili. NEC wanasita kutoa matokeo na ccm wapo kimya mno! Tupo na Dr. Slaa sehemu fulani akiwa na wapambe wake tunampa moyo na matumaini mapya. Hatimaye Kikwete anatoa kitabu fulani kidogo hivi ambacho Slaa anatakiwa kusaini tayari kwa taratibu za kutangazwa mshindi wa uchaguzi mkuu 2010! Oh Lord, grant my dear dream a potential reality, AMEN!
 
HAHAHAHA... NAKUSHAURI UAMKE!! FASTER .... :becky::becky::becky:!! kwani taswira halisi SLAA hana chake!
 
Hahahaaa..Broda...I wish ungeendelea kulala utuambie Baraza lake la Mawaziri, na jinsi atakavyoshughulikia UFISADI!...Huh!
 
ndoto za Ali Nacha, kuota bila kulala
 
Safi sana, ila uendelee kulala mapema ili tupate ndoto nyingi zaidi.
 
Nadhani usiku wa leo nitakuja na maono mengine ya kutia moyo zaidi. Stay tuned for potential realities
 
ndoto nzuri, lakini lakini mtu kama malaria sugu hapendi kuona meli ya dr slaa ikielea
 
mpaka huu uchaguzi upite, nitakuwa nimeongeza siku kadhaa za kuishi kwa kucheka na jf
 
Mungu wetu tunayemwamini sn anasema, hafanyi jambo bila ya kuwaambia watu wake anao wapenda, ndoto yako inawezekana kabisa ndiyo majibu yenyewe, nani alijua mandela angeachiwa kirahisi vile, nani alijua Abacha wa Nigeria angeondoka nchi ikatengamaa mpaka ss wanachaguana kwa amani? nani alijua Savimbi angeondoka nchi itulie leo Angola wanachaguana kwa demokrasia na vigeregere tele? Nawaambia sauti na majiu ya Mungu yanakuja kwa sauti ndogo sana na yakudharauliwa na wengi hasa Mafis adi wanaodhani wako salama kumbe ndipo uchungu uwazukiapo, AZ ataihamaba Tbr na kurudi Irn kwao kwa kuhofia uingizwa kwenye mkumbo na Sokoine wa 2011 na wahujumu uchumi watajiju.
Mungu Ibariki ndoto ya Ndugu yetu ifanikishe kwa ajili ya Taifa lako linalokaliwa na watu wenye nia na roho yakuongozwa na amir eshi ya majeshi yasionekana kwa macho akidhani anaweza sn kumbe anajitafutia to shutuped by the New coming Govt coming from the hand of the Living God.
Mbarikiwe
 
Nenda shule.

Kwani ukilala ndo unaota au mpaka mpaka usinzie? Mbona mi nimelala hapa na sioti?

Wewe nawe umeenda shule na ahijakusaidia. Ndiyo unaweza ukalala na usiote. Na unaweza kulala ukaota.

Tatizo nini? Au ndo kujifanya ujuaji wa kila kitu???
 
Hahahaaa..Broda...I wish ungeendelea kulala utuambie Baraza lake la Mawaziri, na jinsi atakavyoshughulikia UFISADI!...Huh!

labda ndoto inayofuata atatwambia ni nani waziri mkuu, mawaziri na viongozi wengine muhimu tehetehetehe
 
Mungu wetu tunayemwamini sn anasema, hafanyi jambo bila ya kuwaambia watu wake anao wapenda, ndoto yako inawezekana kabisa ndiyo majibu yenyewe, nani alijua mandela angeachiwa kirahisi vile, nani alijua Abacha wa Nigeria angeondoka nchi ikatengamaa mpaka ss wanachaguana kwa amani? nani alijua Savimbi angeondoka nchi itulie leo Angola wanachaguana kwa demokrasia na vigeregere tele? Nawaambia sauti na majiu ya Mungu yanakuja kwa sauti ndogo sana na yakudharauliwa na wengi hasa Mafis adi wanaodhani wako salama kumbe ndipo uchungu uwazukiapo, AZ ataihamaba Tbr na kurudi Irn kwao kwa kuhofia uingizwa kwenye mkumbo na Sokoine wa 2011 na wahujumu uchumi watajiju.
Mungu Ibariki ndoto ya Ndugu yetu ifanikishe kwa ajili ya Taifa lako linalokaliwa na watu wenye nia na roho yakuongozwa na amir eshi ya majeshi yasionekana kwa macho akidhani anaweza sn kumbe anajitafutia to shutuped by the New coming Govt coming from the hand of the Living God.
Mbarikiwe
asante nawe ubarikiwe pia
 
HAHAHAHA... NAKUSHAURI UAMKE!! FASTER .... :becky::becky::becky:!! kwani taswira halisi SLAA hana chake!

Ondoa AVATAR hiyo ya Baba wa Taifa; inapaswa kwenda kwa watu maalum sio mtu feki kama wewe usiyekuwa na uelewa kabisa wa jinsi ya kulisaidia Taifa kutoka ktk tope la umaskini uliotengenezwa makusudi na CCM kwa miaka 50 sasa; pls naomba itoe uki-qualify utairudisa otherwise unajidhalilisha
 
Kama Mungu aishivyo, pamoja na nia za wadau waliochangia humu yawezekana haya yakawa ya kweli. Tusubiri tuona kama 'maono' yatakuja tena ili kujua hatua ifuatayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom