mimi naona ni ndoto nzuri tu .. sijui kwa nini siogopi kufa.. i wish angeota kuwa mimi ndio nimesogeaPole ae...
Ndoto mbaya hiyo...
ila ni ndoto tuuu....

mimi naona ni ndoto nzuri tu .. sijui kwa nini siogopi kufa.. i wish angeota kuwa mimi ndio nimesogea
mimi naona ni ndoto nzuri tu .. sijui kwa nini siogopi kufa.. i wish angeota kuwa mimi ndio nimesogea

Mbona siku ile ulivyoshikwa na jinamizi ulikuwa unapiga kelele "Mama nakufa"
ni kweli ..ila nina hiyo n i hulka ya biinadamu yoyote.. ndio maana unaambiwa kunajamaa alienda kujinyonga na kamba alivyopanda juu ya mti ili kufunga kamba ya kujinyongea akakutana na nyoka face to face.. akakimbia mbio hadi kwake na huo ndio ukawa mwisho wa kujinyonga kwake

Mbona siku ile ulivyoshikwa na jinamizi ulikuwa unapiga kelele "Mama nakufa"

hahahahahahah lohhhh

sijui kwa nini watu wengi

wanaume na wanawake pia huita

"MAMA" kwenye shida yeyote ile...
Aminaa tupu...ila mwaka huu tuna kazi..hiyo amina yako imefutika kutokana na maelezo yako ya mbele yake

ni kweli ..ila nina hiyo n i hulka ya biinadamu yoyote.. ndio maana unaambiwa kunajamaa alienda kujinyonga na kamba alivyopanda juu ya mti ili kufunga kamba ya kujinyongea akakutana na nyoka face to face.. akakimbia mbio hadi kwake na huo ndio ukawa mwisho wa kujinyonga kwake

Sijui kwanini asiposema "Mama nakufa" atasema "Yesu nakufa" sijawahi kusikia mtu anasema "Baba nakufa" lol!
AFro d mimi ndugu zangu wanaweza kulia hata kwa mwaka mzima japo watakuwa wamebaki na mali etc . lakini litakuwa pigo kwao.. but mimi huwa sijali kifo ninachojali ni kuangalia kuwa naishije na watu ili huko niendako kuwe ni sehemu nuri .. mama yangu alishawahi kuniambia(aliqoute mstari wa kwenye bible) kuwa ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kwenda mbinguni.. nikamwambia mama kuwa tembea uone.. ukienda nchi za watu kwa hao wamissionaries waliotuletea biblia na kuwaona na kuona mali zao hutathubutu kuniambia hivi kwani utacoclude kabisa kuwa wazung wote hawataenda mbinguni na wasomali na wasudani wa darfuri ndio wataingia mbinguni.. hapa naomba kiranga asije hapa kwani ata pinga kabisa existence of God...Kifo hakina shida kabisa..
Ni kulala tu au ni seme mapumziko
ya milele..
na kila mtu alie hai sasa hawezi
kusema uchungu au utamu wa kifo
sababu hakuna alie enda na kurudi..
ila kitu kibaya kuhusu kifo ni
uliowaacha behind ....
wao ndo wata miss utu wako...
na kwako Ivuga (magari yako mazuri )mmmhhh
ila naomba sana tena sana isiwe wewe
au mtu yeyeto humu ndani..
iwe ndoto mabua tuuuu...
huwezi kusema baba kwani mama yako ndio anayemjua baba yako tu believe me..ndio maana wengi hawapendi kuita ita baba unaweza ukawa unaita ita baba kumbe sio baba yako wa damu

Sijui kwanini asiposema "Mama nakufa" atasema "Yesu nakufa" sijawahi kusikia mtu anasema "Baba nakufa" lol!
Utalia ee x3 usimwonee...mwana mama yeye..(simba wa nyika haoo)..ila usije lilia magari mashemeji tutakukolimba bureee!Kifo hakina shida kabisa..
Ni kulala tu au ni seme mapumziko
ya milele..
na kila mtu alie hai sasa hawezi
kusema uchungu au utamu wa kifo
sababu hakuna alie enda na kurudi..
ila kitu kibaya kuhusu kifo ni
uliowaacha behind ....
wao ndo wata miss utu wako...
na kwako Ivuga (magari yako mazuri )mmmhhh
ila naomba sana tena sana isiwe wewe
au mtu yeyeto humu ndani..
iwe ndoto mabua tuuuu...

Habari zenyu.. sitaki mtu wa kutafsiri ndoto yangu ila nimeota kuna member wa JF kafa huu mwaka kabla haujaisha. wana JF mrudieni Mungu

vita vilipiganwa toka enzi hizo mtakatifu! btn, vita vyetu sisi sio juu ya damu na nyama, bali ni juu ya nguvu na mamlaka, juu ya falme za giza, sijui kama umenisoma...

Habari zenyu.. sitaki mtu wa kutafsiri ndoto yangu ila nimeota kuna member wa JF kafa huu mwaka kabla haujaisha. wana JF mrudieni Mungu
Wewe popo mweusi na ndoto zako mshindwe kabisaa...kifo ni dude la kutisha kabisa na limewatiisha wababe wengi duniani, hapo ndio breki yetu..lakini neno la Mungu linatufariji - nijapopita chini ya bonde la uvuli wa mauti sitaogopa..Habari zenyu.. sitaki mtu wa kutafsiri ndoto yangu ila nimeota kuna member wa JF kafa huu mwaka kabla haujaisha. wana JF mrudieni Mungu
kabla cjasema Amen, naomba kukomfem;ulimaanisha living od au God??in the name of the living od, I declare life and not death! say Amen!
Em kama itawezekana badlisha hyo avatar yako.

Bwana Yesu asifiwe mama mchungaji.
Habari zenyu.. sitaki mtu wa kutafsiri ndoto yangu ila nimeota kuna member wa JF kafa huu mwaka kabla haujaisha. wana JF mrudieni Mungu