Nimeota ndoto moja

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
Habari zenyu.. sitaki mtu wa kutafsiri ndoto yangu ila nimeota kuna member wa JF kafa huu mwaka kabla haujaisha. wana JF mrudieni Mungu
 
Angalia herufi ya ID yako ni ya ngapi kama siyo ya pili? Wewe ndo utakufa na utabiri wa ndoto yako hauna tofauti na marehemu mlinzi wa JK!
 
Hivi kufa ni kwa kutomrudia Muumba pekee..................wakati mwingine kifo ni lengo la Muumba kukunusuru na dhambi......................mkumbuke Enock...................Mwenyezi Mungu alimchukua mzima mzima na kumpeleka Mbinguni na kumwepusha na mauti ili kwa sababu aliona amezungukwa na jamii ya waovu ambao wangeweza kumdhuru kimwili na kiroho.......................huu utabiri wako ni vigumu kuuthibitisha hadi hapo utakapotupa jina la mhusika na tarehe husika kwa ufuatiliaji............vinginevyo utakuwa unavizia lolote lile na baadaye kujimilikisha kuwa sasa umekuwa mnajimu.............
 
Habari zenyu.. sitaki mtu wa kutafsiri ndoto yangu ila nimeota kuna member wa JF kafa huu mwaka kabla haujaisha. wana JF mrudieni Mungu
Mkuu Black nadhani ingekua vyema endapo maudhui ya hii thread ungei'change katika kuwasisitiza Member juu ya umuhimu wa ibada na kumrudia Mungu!
 
Hivi kufa ni kwa kutomrudia Muumba pekee..................wakati mwingine kifo ni lengo la Muumba kukunusuru na dhambi......................mkumbuke Enock...................Mwenyezi Mungu alimchukua mzima mzima na kumpeleka Mbinguni na kumwepusha na mauti ili kwa sababu aliona amezungukwa na jamii ya waovu ambao wangeweza kumdhuru kimwili na kiroho.......................huu utabiri wako ni vigumu kuuthibitisha hadi hapo utakapotupa jina la mhusika na tarehe husika kwa ufuatiliaji............vinginevyo utakuwa unavizia lolote lile na baadaye kujimilikisha kuwa sasa umekuwa mnajimu.............
Kweli mkubwa! Nakuunga mkono ktk hoja hii, jamaa kama sheikh yahya vile duh!
 
Habari zenyu.. sitaki mtu wa kutafsiri ndoto yangu ila nimeota kuna member wa JF kafa huu mwaka kabla haujaisha. wana JF mrudieni Mungu
<br />
<br />
Mkuu, kunaa kiimani fulani huwa wanasema kwamba ukimuota mtu kafa basi siku zake za kuishi ndo zinaongezeka, na ukiota msiba basi ujue kuna harusi!! Naomba moja kati ya haya au yote mawili yatokee.!
 
Back
Top Bottom