Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 11,550
- 18,294
Agenda yake itakuwa udini au ughaidi.Kusema kuwa watu ni wanafki nadhani hapo umeteleza kwa kuwa humu zipo nyuzi kibao za wapenda haki wakililia na kulaani vifo vya hao uliowataja........
Hakuna mtu mwenye akili timamu akafurahia mauaji ya binadamu mwenzake labda mtu huyo awe tishio kwenye jamii na usalama wa wengine......
Mimi nadhani kama ambavyo wanaharakati walikuwa wanatetea na kulaani vitendo vya mauaji na kupotea kwa watu ndio wanavyotetea na kulaani kitendo alichofanyiwa Mtanzania mwenzetu huko Israel.......
Unless kama una agenda nyingine nyuma ya andiko lakini mimi kwa mtazamo wangu sioni unafiki wote.......
Wale siyo wapigania Uhuru bali maghaidi.
Kwanini waue raia asiye kuwa na silaha kinyama vile.
Tena anaonekana bila wasiwasi kwa rangi yake na lugha siyo Muisrael ambao ni adui yao.
Kauwawa sababu ni mweusi mbona hawajaua raia wa nchi nyingine weupe?