Nimeomba...nikasikilizwa....ni najuta

i am :A S embarassed:
napata :photo:, jinsi kiroho kinavyokudunda ukikaribia home na asubuhi ukitoka :crutch:

:mimba: ndo dawa hapo la sivyo utabakia :behindsofa:
 
...nimepewa more than i can chew

Nilijigamba mimi rijali lakini maji yamezidi unga

Nyumbani pamekuwa ni pakuvizia

Nikirudi ni usiku wa manane

Mtu kanidokeza ni NYMPHOMANIAC

Mwanaume hatakiwa kukimbia vita lakini hii ni vita ya kipekee

Nimempa kavu kavu lakini hapati somo

Nifanyeje kwa sababu tunakoelekea si kuzuri?

Ulijifanya kidume mautundu ya kusimamia vidole

usisepe kaka.
 
Na hivi viroba nilivyo onja mkuu sijakuelewa kabisaaa,hebu fafanua vizuri labda tutakusaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom