Nimeomba...nikasikilizwa....ni najuta

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,166
...nimepewa more than i can chew

Nilijigamba mimi rijali lakini maji yamezidi unga

Nyumbani pamekuwa ni pakuvizia

Nikirudi ni usiku wa manane

Mtu kanidokeza ni NYMPHOMANIAC

Mwanaume hatakiwa kukimbia vita lakini hii ni vita ya kipekee

Nimempa kavu kavu lakini hapati somo

Nifanyeje kwa sababu tunakoelekea si kuzuri?
 
Huo msamiati ulioweka hapo kwa herufi kubwa umeharibu kila kitu maana hata content ya habari imeharibika, hebu nitafasirie hapo nichangie
 
Kapata mwanamke mwenye mziki mnene. Anapiga mzigo 24 hrs bila kuchoka, na mzigo wenyewe wa haja, yaani hadi kidume kimeshindwa kuhimili mapogo. Anamkimbia lakini demu ndo kamganda. (kwa nilivyoelewa mimi)
 
Umenipata
Hapa nilipo nipo pub. Yeye anadai ananisubiri nimemwambia nimepata dharura nitachelewa kurudi anasema hakuna shida atanisubiri baa ya karibu na nyumbani.Leo nimepanga ni lazima achome mahindi kisawa sawa
 
Mdau ,
mbona unachanganya mistari ?
Unashusha mada kama vile tunaishi Nyumba/Maskani/Ofisi moja ?
Yaani umejiridhisha kivyovyote vile tutaelewa tu ulichokisema.
Mi sijaelewa nichangie nini ! Kwa sababu sijaelewa Sredi.
 
Umenipata
Hapa nilipo nipo pub. Yeye anadai ananisubiri nimemwambia nimepata dharura nitachelewa kurudi anasema hakuna shida atanisubiri baa ya karibu na nyumbani.Leo nimepanga ni lazima achome mahindi kisawa sawa
I see!! yaani hapa ndio umefafanuwa ili ueleweke! basi kazi ipo katika idara ya kujieleza kwa Wabongo.
 
No wonder I missed this place.... Dah! Lmao!

Sorry nimeshindwa kujizuia kucheka....:tongue:
 
Majuto ni mjukuu kaka na si mtoto. Maji uliyavulia nguo mwenyewe na sasa huna budi kuyaoga. Kila la kheri.
 
Umenipata
Hapa nilipo nipo pub. Yeye anadai ananisubiri nimemwambia nimepata dharura nitachelewa kurudi anasema hakuna shida atanisubiri baa ya karibu na nyumbani.Leo nimepanga ni lazima achome mahindi kisawa sawa

Muwe mnaridhika na mlivyonavyo, tabia ya kujiokotea okotea mtakuja kula visivyoliwa. Umerikoroga ukalinywe kaka.
 
jitume mkuu mbona unauangusha uma wanaume.cheza kotekote home ma away,
 
Ebwaneee...
Najaribu kufanya imagination hapa -- waonekana mvivu sana wewe!
 
ukipanda magugu usitegemee kuvuna mpunga.....................kata magugu katafune polepole...............au fanya maamuzi magumu kama magugu uliyoyapanda........
 
...nimepewa more than i can chew

Nilijigamba mimi rijali lakini maji yamezidi unga

Nyumbani pamekuwa ni pakuvizia

Nikirudi ni usiku wa manane

Mtu kanidokeza ni NYMPHOMANIAC

Mwanaume hatakiwa kukimbia vita lakini hii ni vita ya kipekee

Nimempa kavu kavu lakini hapati somo

Nifanyeje kwa sababu tunakoelekea si kuzuri?

Wengine tumesoma chini ya miembe nyoka akidondoka darasa linaahirishwa mpaka kesho. Tukiona hivi viingereza hata hamu ya kusoma inakwisha kabisa.
 
Tulia dogo mziki unaonekana wa kawaida ila wew tu ndo unajipagaisha mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom