Nimenunua miwani kukinga macho lakini bado watu watajua kuwa nimelewa. Nifanyeje nisijulikane?

Joel Johansen

JF-Expert Member
May 12, 2016
242
319
Nimejiajiri (yaani Freelancer) na nimeona mabadiliko makubwa maana sina stress za kuamka mapema niwahi kazini, ila huwa nina wa-treat wateja kama mabosi zangu hivyo nina nidhamu kwenye kazi yangu.

Tatizo nimejikuta nimekuwa mlevi wa kupindukia baada ya kuona wateja ni ngumu kutoa hela kama sijapiga viroba na kirikuu 2. Yaani nikiweka vitu mbona hela ataitoa tu:)

Changamoto ni kwamba licha ya kujitahidi kubadilisha kilevi (from Konyagi = hii ilikuwa inanipanda kichwani hadi nashindwa kutembea vizuri to Valuu = hii inaniboost kupiga kazi hata kama viungo na akili vimechoka, lakini reasoning yangu haiathiriwi hivyo nafanya negotiations vizuri kama kawaida).

Changamoto ni pale ambapo bado mtu atajua kuwa nimelewa either kwa kuniona nimechangamka sana na kumjibu kwa ujasiri. Hili ni tatizo hasa kwa watu wanaoniheshimu kutokana na kazi yangu na vile wanavyonilipa, yaani nikirudi kwangu huwa najiskia aibu kwa zile kauli za baada ya kumaliza biashara: "lakini uache pombe", "najua ushapiga vitu", "umelewa nini?"

Lakini wakati huo mimi nakuwa sijioni kama nimelewa saaana, kweli biologically nimelewa lakini tutaongea vizuri, nitafanya presentation, atanilipa changu, tutaonana kesho, mwendo wangu sio wa kuyumba, nimepiga miwani ya shade.. sasa sijui tatizo liko wapi wadau!?
 
pole ndgu bt unaonekana pombe unaweza kuiacha lakni kichwani mwako umekremU kuwA bilA kupatA kirobA watejA hawatoI pesA so jaribu kwenda mishe zako bila kunywa pombe. mwisho wa cku utazoea
 
Back
Top Bottom