Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Huyu mtoto ana sauti ya ukweli na ya kimapozi .. lingekuwa embe ningekula hadi majani .. mashalaaah!!!!
ningepata pics zake dah!ingekuwa poa sana
ningepata pics zake dah!ingekuwa poa sana
We saint unatafuta nini kwa mke wa mtu. Si ameolewa yule?Huyu mtoto ana sauti ya ukweli na ya kimapozi .. lingekuwa embe ningekula hadi majani .. mashalaaah!!!!ningepata pics zake dah!ingekuwa poa sana
HATA KAMA .. mimi sina mpango wa kukutana naye wala kumtaka .. nimemzimia tuWe saint unatafuta nini kwa mke wa mtu. Si ameolewa yule?
See, haya yote yalitakiwa kuwekwa kwenye jukwaa la Clouds FM....
NN nimekusoma .. hhahahaha clouds si ndio inapatikaa online? so usishangae mkuu waambie waitoe online kama utakuta thread zao hapaNingeshangaa sana leo siku kuisha bila ya mtu kulialia kuhusu Clouds FM....
im in love with blackbeuty offcoursseDah!!! kweli kipenda roho... She is beautiful of coz (hope unapenda weusi...) but utangazi wake mmmh!
sina nia ,ila nimemzimikia tu mtu wanguana website mgoogle loveness diva...kisha umcontact kama una nia...
im in love with blackbeuty offcoursse
mm!! AshaDii naona unanitafutia matatizo haha.. im just in love with her and i dont have any plan to meet herThen she is perfect for your imagination.... very portable if you like carrying (in case ukafanikiwa...) Best of Luck!!
Na picha zake unataka za nini? Umemsikia redion inatosha, au!!?HATA KAMA .. mimi sina mpango wa kukutana naye wala kumtaka .. nimemzimia tu
We saint unatafuta nini kwa mke wa mtu. Si ameolewa yule?
See, haya yote yalitakiwa kuwekwa kwenye jukwaa la Clouds FM....
Na mbona anajishaua eti kamzimia tu wala hana mpango wa kumeet naye.Kakwambia atakula hadi majani...huoni maana yake wewe?
NN nimekusoma .. hhahahaha clouds si ndio inapatikaa online? so usishangae mkuu waambie waitoe online kama utakuta thread zao hapa
Then she is perfect for your imagination.... very portable if you like carrying (in case ukafanikiwa...) Best of Luck!!
Lipo eeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhh