Nimemtongoza akanijibu ana boyfriend, nimechanganyikiwa

Imezoeleka Mwanaume akipenda lazima ang`oke na msichana taabia hii ikome.
Hutakiwi kinganganizi cha nini? Hayo mambo ya kungang`ania yamepitwa.
 
Kijana hautakiw kupanic hata kidogo wakat unatongoza mwanamke (japo wew umeanza kwakupenda/co kutaman kama cc alafu baADAE NDIO TUNApenda
Wew komaa m-show#lov kwasababu yeye kuwa nA BF co reason yakutokupendwa )

Mwambie ata wew unampenda akupenafac ndogo ndogo za kumuonyesha ujali na usingoje majibu ya mdomo mjali tuu


[HASHTAG]#achakula[/HASHTAG] lunch zake anza kulipia everything .bili zake mkiwa pamoja.
 
Mimi Kijana wa miaka 23. Kuna binti nilitokea kumpenda sana, nilijenga ukaribu nae mpaka watu wa pembeni walihisi niko nae katika mahusiano.

Siku zilienda binti akaanza kuonesha dalili za kunipenda, mfano wakati wa lunch aliniomba tule wote, hata hizo wakato mwingine analipa, wakati mwingine mimi. Kiukweli alionesha kunijali mpaka nikahisi ananipenda..

Sasa mimi baada ya kuona vile nikaamua nisiwe domo zege, nikaamua kumwambia kuwa nampenda, lakini alichonijibu kimenichanganya mpaka sasa hivi, alinambia kwamba anaona ITAKUWA NGUMU COZ ANA BOYFRIEND!

Hata kuniambia ivo bado nikikutana nae hata nikiwa sehemu fulani marafiki zangu tunapiga story ananifuata mwenyewe au ananiita pembeni kunisalimia.. Kwa bashasha na tabasamu pana mpaka nashindwa kuelewa kama lile jibu alimaanisha au aliteleza tu kusema..!

Sasa ndugu zangu nifanye nini anielewe maana nampenda sana.

Naombeni mbinu za kufanya.

Kukuambia Kwamba Ana Boyfriend Haimaanishi Kwamba Hakupendi. Swala la Msingi Ulilofanya la Kumueleza Ukweli wa Moyo Wako Ni Nguzo Yako Muhimu.

Good thing ni kwamba, she's still close to you and moreover, she smile at you! Hapo upewe nini tena.

Fanya hivi, Endelea Kuwa Naye Karibu, Epuka Kumuuliza au Kumtaja Taja Huyo Boyfriend Wake.. Ila Onyesha Kumjali, na Kila Ukiona Umemfanyia Jambo Linalomfuruhisha.. Bas tumia fursa hiyo Kumueleza Hisia Zako..

Shake it untill No Colour turns into Yes Colour.

Naamini Utashinda Kwa Sababu Kuna Kila Dalili Kwamba.. Ama Huyo Binti Hana Boyfriend au Anaye Ila Hampendi sana.. Ndo mana anapata muda wa kuwa karibu na ww. Kwa binti ambaye hakutaki, asingeendelea kuwa karibu na ww.. But it seems kuna kitu anavutiwa nacho kutoka kwako.
 
Mkuu,
Huyo mwanamke anaangalia umakini wako kama ulichomtamkia ulimaanisha au uliongea ili mradi,
Bila shaka anakupima kujua lengo lako nini kwake,

Cha kufanya usikate tamaa hata akikwambia ameolewa,
Endelea kumsumbua kwa maneno matamu mazuri yenye mvuto na sio umsumbue umkere
Panga maneno yako mazuri ya kumwambia akuelewe
Na kila unapoongea nae zungumza points
Zungumza kwa ubunifu, ufundi, wa maneno matamu na kiswagga.

Onesha nia njema na malengo yako kwake

Komaaa mwanaume hashindwi kitu kizembe, just hustle my bwoy,
Go and flow hard
Mutha f*cka........
 
Hakuna mwanake asiyekuambia hana boyfriend na ni wanaume wa chache wenye kusema wana girlfriend.
Aisee dunia ya Tanzania ni ya ajabu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom