Chuma Chakavu
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 1,523
- 653
Wabongo hata midlife crisis hawajui ni kitu gani
Msamehe bure inawezekana kaisikia jana kwa mtu halafu akakurupuka kusema bila kujua maana yake
Wabongo hata midlife crisis hawajui ni kitu gani
Lol! Unatafuta balaa wewe! Mwenzio kwenye diskasheni wanamsimulia stori za sun ciro wewe unaongelea sijui matofali na mashamba! Jamani wadada wa 30 wakaolewe na nani mnaoa watoto?!
Hakikisha una-maintain membership humu, utahitaji stress relieve za kutosha. 19 yrs!!! She could be ur daughter for pity's sake!!
Kuna details nyingine mdau ameziorozesha naona kama hazikuwa na umuhimu wa kuzisema.
Mfano 'nimemtoa bikra', 'nina degree mbili'.
Anyway, age is nothing but is just a number. Gape la miaka 17 ni la kawaida sana katika mapenzi na ndoa kwa ujumla.
hahahaha! umefikiria mbali mno!
Lol! Unatafuta balaa wewe! Mwenzio kwenye diskasheni wanamsimulia stori za sun ciro wewe unaongelea sijui matofali na mashamba! Jamani wadada wa 30 wakaolewe na nani mnaoa watoto?!
Hakikisha una-maintain membership humu, utahitaji stress relieve za kutosha. 19 yrs!!! She could be ur daughter for pity's sake!!
huwezi tamani maziwa at 35 wakati hujawahi yaonja.
Mie sasa hivi nianze kulilia milkshake, si watasema mizimu ya kwetu imepnda?
Nimekua nakula viazi baga ntatamani wapi.
mwaya oa tu
wangapi wameolewa na watu wanawazidi umri na familia zinaenda tena kwa raha zao.
Si kila mwanamke kapitia disko, au anatamani kujirusha. Wengine wamezaliwa wakiwa wabibi tu.
kwa elimu ya masters unauliza swali kam hilo basi elimu yako ni makorokocho
Toka hapa, mengine tunajifunzia mjini banaa. Mama yako alishakuvalishaga tong ama gstring wewe? Si ulimuona mateka anakodolea ukaamua na wewe kujitosa?