Nimempita GF wangu tofauti ya zaidi ya miaka 17 JE HAPO HAKUNA TATIZO

Dah jf ina mambo yaani kwa sababu nimeomba ushauri wa kuoa ndio naitwa eti mzee. Kisa nina miaka 37.
 
[h=2]William Shakespeare - Sonnet #138[/h]
When my love swears that she is made of truth I do believe her, though I know she lies, That she might think me some untutor'd youth, Unlearned in the world's false subtleties. Thus vainly thinking that she thinks me young, Although she knows my days are past the best, Simply I credit her false-speaking tongue: On both sides thus is simple truth suppress'd. But wherefore says she not she is unjust? And wherefore say not I that I am old? O, love's best habit is in seeming trust, And age in love loves not to have years told: Therefore I lie with her and she with me, And in our faults by lies we flatter'd be.
 
Ndugu wadau naomba ushauri. Mimi ni muajiriwa na nina kazi nzuri tu .umri wangu ni miaka 37 elimu yangu ni ya chuo kikuu nina degree 2 (masters) . Kutokana na sababu binafsi nimechelewa kuoa na sijafikilia kwa hivi karibuni. Na tabia yangu ilikuwa ni kupenda starehe . Ila nimekuja kustuka sasa umri umeenda na sina mke wala mtoto . Wanaume wa age yangu wote wana familia. Wanawake wameshaolewa. hivi karibuni nimepata gf mwenye umri wa miaka 19. Yuko chuo first year chuo . Nimempenda naye amenipenda. Na nimemtoa bikira na natamani kudumu naye na yeye pia anataka hivyo yaani tuje tuoane.. nikifikiria naona kama umri ni tatizo. Lakini mimi nina umbo zuri na dogo kwa muonekano naonekana kama nina miaka 27 au 28. WADAU NAOMBENI USHAURI JE HILI HALITANISUMBUA KWANI HUYU MWANAMKE NILIMDANGANYA UMRI WANGU PIA YEYE ANAJUA TUMEPISHANA MIAKA 7 . LAKINI NI 17
Kwani huwa haiingii vizuri au?anyway,please wekeni picha zenu basi.
 
jamani jf nauliza tena hivi miaka 37 naitwa mzee??? au ni wivu wenu?
 
hakuna tatizo kwa sasa...ila tuseme sogeza miaka 15 ijayo halafu fikiria kama kutakuwa na tatizo ama hakuna...
 
kwani hiyo miaka 15 ijayo na yeye atabaki hivyo hivyo kama alivyo. baada ya miaka 15 ijayo atakuwa na miaka 34 na mimi nitakuwa na miaka 52..... all in all hakuna mtanzania mwenye uhakika wa hata miaka 10 mbele ndio maana leo hata watu wanalalamika na nssf itakuwa mimi na hiyo miaka 15 ijayo unayosema
 
almost doble age! but no way ni mtu mzima kama mnapendana na familia zenu zinaafikiana shwari tu
 
unambaka huyo mtoto ila naomba nikupe ushauri mmoja hivi, kumbuka utakapofikisha miaka 57 yeye atakuwa na miaka 37.
Kwa umri huu wa mtanzania ni mtu mzee na mkeo atakuwa damu inachemka kidogo utashindwa kumuhimili vizuri, matokeo yake ni kugongewa mkeo
 
Miaka 7 p/s; miaka 4 O-level; miaka 2 A-level; miaka 4 shahada ya I; miaka 2 shahada ya II. Jumla ya miaka ya masomo 19. Mkuu ulianza p/s una miaka mingapi? Hesabu inaonesha ulianza p/s ukiwa na miaka 19 ni kweli au hapa unatu-enjoy?
 
hiyo differensi si neno sana endapo wote matajivuta half of it ww backward yy foward. yaani aongeze kama miaka 8 hivi kisha a behave kama mtu wa umri huo huku wewe ukirudisha nyuma kama miaka saba kisha ubehave kama una umri huo hapo mwaweza endana. tatizo litatokea wakati ukiacti kama mtu mzima pale anapotaka mfano, kwenda dansi wewe unang'ang'ani kwenda kulima; wewe unang'ang'ana na kwaya yeye ma hip hop n.k. mwisho imani yenu ya kiroho pia itawasaidia
 
Ndugu wadau naomba ushauri. Mimi ni muajiriwa na nina kazi nzuri tu .umri wangu ni miaka 37 elimu yangu ni ya chuo kikuu nina degree 2 (masters) . Kutokana na sababu binafsi nimechelewa kuoa na sijafikilia kwa hivi karibuni. Na tabia yangu ilikuwa ni kupenda starehe . Ila nimekuja kustuka sasa umri umeenda na sina mke wala mtoto . Wanaume wa age yangu wote wana familia. Wanawake wameshaolewa. hivi karibuni nimepata gf mwenye umri wa miaka 19. Yuko chuo first year chuo . Nimempenda naye amenipenda. Na nimemtoa bikira na natamani kudumu naye na yeye pia anataka hivyo yaani tuje tuoane.. nikifikiria naona kama umri ni tatizo. Lakini mimi nina umbo zuri na dogo kwa muonekano naonekana kama nina miaka 27 au 28. WADAU NAOMBENI USHAURI JE HILI HALITANISUMBUA KWANI HUYU MWANAMKE NILIMDANGANYA UMRI WANGU PIA YEYE ANAJUA TUMEPISHANA MIAKA 7 . LAKINI NI 17

Mbona baadhi ya uliyoandika hayaendani na busara na maadili ya mtu mzima (miaka 37) na aliyesoma (masters) na mwenye kazi nzuri. Kweli siyo yote yang'aayo ni dhahabu. Kamuombe samahani huyo binti.
 
Back
Top Bottom