Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Nimeamua hivo sema Sasa ishu imegombanisha hada wazazi na ndugu pande zoote na maapizo ya kutorudiana yalitolewa na wazazi ...
Kwa Sasa tunaibiana kwa Siri tuu

mshaanza kujiiba? Hamuachani nyie . That’s a good step, endeleeni kujiiba mwisho wa siku mambo yatakaa sawa. Big up kwako mkuu
 
Pole mkuu!

Umejaribu njia zote za kurudiana ikashindikana? Maana hakuna mkamilifu hasa kwenye sex, binafsi labda nikudake unanifanyia shiriki but nikikufuma bed ntakusamehe najua nyege zako tu zimekutuma maana hazina adabuu.....

Msamehe mkuu mlee watoto, divorce anaiweza mwanamke nyie wanaume huwa mnakufa

Mrudie!
Kosa la mke kuliwa sitoi msamah
 
mshaanza kujiiba? Hamuachani nyie . That’s a good step, endeleeni kujiiba mwisho wa siku mambo yatakaa sawa. Big up kwako mkuu
Tumekua Kama teenagers maana bimkubwa yupo home anaangalia wajukuu Sasa inabidi tuibiane lodge ...... Zile stress Sasa baasi 😁😁
 
Tumekua Kama teenagers maana bimkubwa yupo home anaangalia wajukuu Sasa inabidi tuibiane lodge ...... Zile stress Sasa baasi

Mnapendana nyie hebu kaeni muyajenge mumalize huo utata. Huko huko lodge mkikutana zungumzeni ili mumalize tofauti zenu. Nobody is perfect brother, usiache mkeo
 
ukiwa siyo ME si rahisi kuelewa. Nyinyi ni rahisi sana kusamehe ME aliyechepuka hata kama ni ndani ya ndoa, lakini ni ngumu sana kwa ME. Jamaa anahofia angeweza kumdhuru mkewe au hata kumuua kwa hasira alizonazo. Ni bora aliondoka.
Mambo madogo tu hayo mnayakuuuuza!!

We lini ulikuwa mwanamke ukajua ni rahisi kusamehe?
 
Mnapendana nyie hebu kaeni muyajenge mumalize huo utata. Huko huko lodge mkikutana zungumzeni ili mumalize tofauti zenu. Nobody is perfect brother, usiache mkeo
Kweli ndugu yangu hata mi si mkamilifu
 
Safi, anzeni upya. Mkivuka hapo wote mtakua makini maana kila mtu atajua thamani ya ndoa yake na hatataka kuipoteza kijinga. Mara nyingine misuko suko katika ndoa ndo inayoleta uimara.
Yaah sure makovu yanatukomaza si kutulemaza hakika tutakua tumejifunza.
 
Back
Top Bottom