Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,008
- 5,446
- Thread starter
- #481
Na bado zoba nimetoka kumkaza juzi kisirisiriMpaka hapa mwanamke amekupanda kichwani. Kwa kifupi ushakua zoba flani hivi
Na bado zoba nimetoka kumkaza juzi kisirisiriMpaka hapa mwanamke amekupanda kichwani. Kwa kifupi ushakua zoba flani hivi
Nimeamua hivo sema Sasa ishu imegombanisha hada wazazi na ndugu pande zoote na maapizo ya kutorudiana yalitolewa na wazazi ...
Kwa Sasa tunaibiana kwa Siri tuu
Kosa la mke kuliwa sitoi msamahPole mkuu!
Umejaribu njia zote za kurudiana ikashindikana? Maana hakuna mkamilifu hasa kwenye sex, binafsi labda nikudake unanifanyia shiriki but nikikufuma bed ntakusamehe najua nyege zako tu zimekutuma maana hazina adabuu.....
Msamehe mkuu mlee watoto, divorce anaiweza mwanamke nyie wanaume huwa mnakufa
Mrudie!
Tumekua Kama teenagers maana bimkubwa yupo home anaangalia wajukuu Sasa inabidi tuibiane lodge ...... Zile stress Sasa baasi 😁😁mshaanza kujiiba? Hamuachani nyie . That’s a good step, endeleeni kujiiba mwisho wa siku mambo yatakaa sawa. Big up kwako mkuu
Hio kitu siwezi kabisa
Nimekuelewa dada, of course tumeanza kuyajenga hope yatakaa sawa
Mbona hizi sentensi zina kinzana?na bado zoba nimetoka kumkaza juzi kisirisiri
Tumekua Kama teenagers maana bimkubwa yupo home anaangalia wajukuu Sasa inabidi tuibiane lodge ...... Zile stress Sasa baasi
Mambo madogo tu hayo mnayakuuuuza!!ukiwa siyo ME si rahisi kuelewa. Nyinyi ni rahisi sana kusamehe ME aliyechepuka hata kama ni ndani ya ndoa, lakini ni ngumu sana kwa ME. Jamaa anahofia angeweza kumdhuru mkewe au hata kumuua kwa hasira alizonazo. Ni bora aliondoka.
Mambo madogo tu hayo mnayakuuuuza!!
We lini ulikuwa mwanamke ukajua ni rahisi kusamehe?
Unamiliki mke wewe...au manjonjo tu humuKosa la mke kuliwa sitoi msamah
Anakuwa anakupenda mkuuKipenzi, mtu kukuzalia sio hoja kwamba anakupenda.
Unahisi unaweza Kuja Kuishi na Mwanamke Maisha yako Yote asifanye Hayo Mambo hapo JuuMWACHE MWANAMKE KWA
UZINZI WAKE.
UCHAWI.
ukishupaza shingo ktk hayo Basi.
Sawa bhana. Niaje lakini?Anakuwa anakupenda mkuu
TATIZO hisia mkuuMbona hizi sentensi zina kinzana?
Kweli ndugu yangu hata mi si mkamilifuMnapendana nyie hebu kaeni muyajenge mumalize huo utata. Huko huko lodge mkikutana zungumzeni ili mumalize tofauti zenu. Nobody is perfect brother, usiache mkeo
Kweli ndugu yangu hata mi si mkamilifu
Yaah sure makovu yanatukomaza si kutulemaza hakika tutakua tumejifunza.Safi, anzeni upya. Mkivuka hapo wote mtakua makini maana kila mtu atajua thamani ya ndoa yake na hatataka kuipoteza kijinga. Mara nyingine misuko suko katika ndoa ndo inayoleta uimara.
Poaz nambieSawa bhana. Niaje lakini?
Mkuu unaendeleaje?Habari,
Kwa masikitiko makubwa baada ya kugundua mke Wangu anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.
Pigia rula ndefuKaka mke mzinzi sio wa kurudiana nae