Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,153
Hii kitu nilikuwa na nyota nayo.
Kila nikinywa sehemu soda na nyama naandikiwa namba za simu na mhudumu kwenye bili.
Nkawaza ningekuwa nakunywa bia ingekuwaje kama soda wananiandikia namba zao.
Leo hii kila nikienda hata bili ya karatasi sipati tena unaambiwa alf kumi bili yote tumalizane.
Niko kwa mwamposa napiga maombi kujua nilipokosea nanani kapita na nyota yangu hii.