Nimelikoroga, limenishinda kunywa.

huna cha kufanya zaida ya kutubu, kama wewe ni he utasamehewa, wanawake wana huruma sana lkn kwa wewe ni she sijui itakuaje, mens ni wagumu sana kusamehe esp. inapokuja suala la uzinzi, hata akikusamehe atakukumbusha kila siku. pole sana
 
Sipotezi time yangu kuumiza mikono yangu kukushauri wewe,wakati unakwenda mbona hukuingia hapa na kuomba ushauri?Yameshaharibika ndio unaomba ushauri!
 
Wanawake tuna huruma, hebu nenda kajieleze vizuri ataelewa. Usiende kuongeza uongo hata kidogo, wewe sema ule ukweli ulio moyoni mwako na uahidi kutorudia.

Huyo hajaandika risala, angalia points tu zinavyoenda utagundua ana maana gani. Unajua unapofanya matendo ya uovu unaona kama vile huonekani kwa binadamu mwenzio lakini kwa Mungu je?

Tafakari!


Au sio hahaha naona huu ushauri mzuri kweli,ila kwangu mimi siwezi kufanya hii kitu eti nikaongee ukweli si bora ni tafute kitu kingine cha kumwambia kuliko kumumwambia ukweli na aanze kuwa na stress na wewe maisha yake yote anafikiria tu jinsi ulivyofanya??Hapo sikubali
 
mpe maneno mazuri,kumbushia tangu uhusiano wako na mke wako ulivyoanza,ikibidi hata barua ya mapenzi muandikie mke wako.wanawake ni rahisi kusamehe. Na ahadi ya kutokurudia usirudie tena. Vile vile ikibidi kumtoa out mke wako mtoe.
Mikella amekwambia kuwa yeye ni mwanaume??
 
mh pole
mtumie mtu akaongee na mkeo
cz yeye atakuskiliza
afu acha i mambo
 
Kaombe msamaha, mwambie uliteleza, na toa ahadi ya kutorudia tena, binadamu tumeumbwa na huruma atakusamehe tu
 
Mmh kwa ushauri hhuuuuuu wote, usipotubu basi hata shetani atakukimbia mwana, tubu na ninaskia kuna promosheni ya wokovu, hasa kwa wale wenye makosa kama yako. Just a joke but you u must be saved.
 
Una hakika gani kuwa naye hakuwa Magendo wakati anakupigia simu..?!!:pound:pole weeeeh!! Anza kumtongoza upya!!
 
Mimi naona pia ni vyema ungekuja JF kuomba ushauri kabla ya kucheat. Ili wenye maozoefu ktk fani wakushauri namna ya kucheat vyema bila kuwa arrested na spouse wako.
 
Back
Top Bottom