Nimelewa tila lilaa nimelewa tilaliaa

Ndio urithi au wewe bado mtumwa wa pombe za kizungu.......unaambiwa Joni woka wakati ni sawa na gongo tu, chupa imekuzingua!

Ya kienyeji unapata nishai na kushiba...faida mara mbili
Kawaulize wakenya ndo watakuambia kama john walker na gongo ni sawa! Chezea gongo wewe!
 
Kawaulize wakenya ndo watakuambia kama john walker na gongo ni sawa! Chezea gongo wewe!

Kumbe wewe hujui kitu kabisa.....Kenya wale walikunywa mchanganyiko wa ethanol (ya kizungu) eti wanadhani chan'gaa.
 
niko cngo kha,me cku hz nimeokoka hapa nanywa zangu maji ya kilimanjaro tu, pombe cguc tena!

Mtoto wa kike mida hii unakunywa maji ya Kilimanjaro?!!!!!! Are u booked today...si unajua mtalaka hatongozwi!!
 
Back
Top Bottom