Nimekwama kuunganisha Card yangu Paypal,tatizo ni nini hapo?

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,585
upload_2017-12-26_0-15-58.png
 
Nenda crdb tawi lolote lililo karibu yako uwaambie unataka kuiactivate card yako iweze kufanya online transsaction watakupa form utajaza then kuna code watakutumia uingie nazo kwenye website yao kujiregister then itajuwa tayar
 
OK
 
Kama ni CRDB. huu ndio utaratibu.
 
Equity wana utaratibu gn?
Equity ukifungua tu account mnamalizana hapo hapo, na kufungua account ni ndani ya dakika kadhaa tu, uwe na kitambulisho na 10000 tu.
Labda ukitaka kufanya online transaction kwa siku ni 270000 ukitaka zaidi ya hicho kiwango hadi uwasiliane nao wakuongezee kiwango.
 
Iweke pesa mkuu kama elfu saba ivi watatoa kama elfu nne nafikiri huwez link card ambayo haina balance, Ikizingua Apo Rudi Crdb wakupe fomu ujanze Ya ku ruhusu ifanye miamala ya online, Mimi na recommend Bank ABC au Equity si wasumbufu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom