Technologically Tanzania bado tupo nyuma sana, ni kama vile tupo 1990s

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Mpaka leo 2023 internet ya fibre ni anasa kwa wachache hata wanaoishi kwenye majiji, yani hizo process za kuja kufungiwa tu waweza kata tamaa labda isp awe kampuni binafsi, wenzetu hapo Kenya hizi ishu za Fibre washazizoea tangu 2010s nyumba kibao kuna fibre unlimited internet.

Luku za umeme tunaziingiza utadhani tupo 1990s, yani mtu uinue simu uanze kuingiza tarakimu kibao za namba za mita. utatumiwa litoken lirefu namba kibao uanze kuziingiza manually kwenye mashine ya luku, ikisumbua uanze kwenda kwa majirani, such bureacracy!! at least warahisishe hili zoezi iwe unanunua umeme moja kwa moja, mita iwe ya kucheki salio tu

Paypal ni kama Mpesa ya dunia, lakini mpaka leo kwa Tanzania tunaruhusiwa kutuma pesa tu, account hazipokei pesa, huko BOT wanaosimamia hizi ishu ni kama vile wamekariri excuses, watakwambia wanazuia money laundering, Yes ni mwaka 2023 bado wanatumia visingizio vya 1990s kwenye dunia ya sasa, dunia ishafika mpaka kwenye cypto currencies lakini hapa kwetu nado Paypal imebanwa.
 
Hio issue ya PayPal BOT wanaleta utoto sanaaa
Na hata Paypal ya kulipia imeanza kuzoeleka 2016 kupitia Mpesa visa card ya vodacom, Kabla ya hapo hata uwe na kadi ya benki haikuruhusiwa kufanya malipo online mpaka ujaze fomu, uandile barua, n.k. hadi kadi yako ije iruhusiwe waweza kaa mwaka mzima na hapo uwe unawakumbusha kila mara.
 
Hapo ndo fursa ilipo. You just copy and paste kwa waliotangulia. Ukiwa maskini bongo umependa mwenyewe.

1000068864.gif
 
Mpaka leo 2023 internet ya fibre ni anasa kwa wachache hata wanaoishi kwenye majiji, yani hizo process za kuja kufungiwa tu waweza kata tamaa labda isp awe kampuni binafsi, wenzetu hapo Kenya hizi ishu za Fibre washazizoea tangu 2010s nyumba kibao kuna fibre unlimited internet.

Luku za umeme tunaziingiza utadhani tupo 1990s, yani mtu uinue simu uanze kuingiza tarakimu kibao za namba za mita. utatumiwa litoken lirefu namba kibao uanze kuziingiza manually kwenye mashine ya luku, ikisumbua uanze kwenda kwa majirani, such bureacracy!! at least warahisishe hili zoezi iwe unanunua umeme moja kwa moja, mita iwe ya kucheki salio tu

Paypal ni kama Mpesa ya dunia, lakini mpaka leo kwa Tanzania tunaruhusiwa kutuma pesa tu, account hazipokei pesa, huko BOT wanaosimamia hizi ishu ni kama vile wamekariri excuses, watakwambia wanazuia money laundering, Yes ni mwaka 2023 bado wanatumia visingizio vya 1990s kwenye dunia ya sasa, dunia ishafika mpaka kwenye cypto currencies lakini hapa kwetu nado Paypal imebanwa.

Dont wait for policies to be ready!
Dont wait for the services to be ready!
Start yourself and make money from it
Because when its ready there is no chance for you!

By Jack ma
 
Its not easy to apply those thoughts in this bureacratic country, also the higher ups wakurugenzis who lead the organizations are just appointed through teuzi with little to none interest neither expertize of what they are managing.

Nala alihamishia ofisi Kenya sababu ya mambo haya
 
Sio rahisi serikali kukubali ina mapungufu, mfano hii luku kuna kijana alishawai kubuni mfumo wa kuingiza umeme moja kwa moja but still haijafanyiwa kazi, wakibadili mfumo huenda kuna ugali wa mtu utaguswa.
Roho mbaya tuu wivu kuna watu walitengeneza umeme,wao iringa daaah walikutana na vigwazo utafikir wamebeba magendo

Mwingne katengeneza helcopta ni balaaa had leo ameipak juu ya mawe
 
Si kila kitu ni cha kuruhusiwa just tu kimetengenezwa nyumbani, mfano hiyo helicopter iliruka, inafikia safety standards za kitaifa na kimataifa?
 
Mpaka leo 2023 internet ya fibre ni anasa kwa wachache hata wanaoishi kwenye majiji, yani hizo process za kuja kufungiwa tu waweza kata tamaa labda isp awe kampuni binafsi, wenzetu hapo Kenya hizi ishu za Fibre washazizoea tangu 2010s nyumba kibao kuna fibre unlimited internet.

Luku za umeme tunaziingiza utadhani tupo 1990s, yani mtu uinue simu uanze kuingiza tarakimu kibao za namba za mita. utatumiwa litoken lirefu namba kibao uanze kuziingiza manually kwenye mashine ya luku, ikisumbua uanze kwenda kwa majirani, such bureacracy!! at least warahisishe hili zoezi iwe unanunua umeme moja kwa moja, mita iwe ya kucheki salio tu

Paypal ni kama Mpesa ya dunia, lakini mpaka leo kwa Tanzania tunaruhusiwa kutuma pesa tu, account hazipokei pesa, huko BOT wanaosimamia hizi ishu ni kama vile wamekariri excuses, watakwambia wanazuia money laundering, Yes ni mwaka 2023 bado wanatumia visingizio vya 1990s kwenye dunia ya sasa, dunia ishafika mpaka kwenye cypto currencies lakini hapa kwetu nado Paypal imebanwa.
PayPal niliitumia zamani lakn naona kama tumerejeshwa nyuma 10 years..

Tumegeuzwa soko la
Vibirit, toothpaste nk
 
Mpaka leo 2023 internet ya fibre ni anasa kwa wachache hata wanaoishi kwenye majiji, yani hizo process za kuja kufungiwa tu waweza kata tamaa labda isp awe kampuni binafsi, wenzetu hapo Kenya hizi ishu za Fibre washazizoea tangu 2010s nyumba kibao kuna fibre unlimited internet.

Luku za umeme tunaziingiza utadhani tupo 1990s, yani mtu uinue simu uanze kuingiza tarakimu kibao za namba za mita. utatumiwa litoken lirefu namba kibao uanze kuziingiza manually kwenye mashine ya luku, ikisumbua uanze kwenda kwa majirani, such bureacracy!! at least warahisishe hili zoezi iwe unanunua umeme moja kwa moja, mita iwe ya kucheki salio tu

Paypal ni kama Mpesa ya dunia, lakini mpaka leo kwa Tanzania tunaruhusiwa kutuma pesa tu, account hazipokei pesa, huko BOT wanaosimamia hizi ishu ni kama vile wamekariri excuses, watakwambia wanazuia money laundering, Yes ni mwaka 2023 bado wanatumia visingizio vya 1990s kwenye dunia ya sasa, dunia ishafika mpaka kwenye cypto currencies lakini hapa kwetu nado Paypal imebanwa.
Hujakosea kabisa kaka.
Bongo bado tuna upuuzi upuuzi sana
 
fiber ni anasa kubwa😂, ila niliona kwa airtel ipo 70K kwa mwezi speed mb10/sec sasa mkiwa wapangaji saba mnajichanga liten chap
 
MB - Megabytes, hizi ndio hutumika kwenye kupima mafaili tunayodownload, Kama Internet yako ina speed ya 1 MBps ina maana kwamba unaweza kudownload file la MB 10 kwa sekunde 10

Mb - Megabits, hizi hutumika zaidi kupimia speed, MB 1 ukiigeuza iwe Mb ni 0.125, kwahio speed ya 10 Mbps ni unaweza kuitumia kudownload MB 1.25 kwa sekunde..

10 Mbps kwa watu kumi mtapata speed ndogo sana
 
masikini hata kb500 zinamtosha😅
 
Back
Top Bottom