Nimekuwa mdau wa jf napenda kuuliza hivi ni kweli wote tuna wito wa kuoa au kuolewa?

mkulasabo

Member
Dec 21, 2011
21
2
katika ukweli kila binadamu yupo hapa duniani kwa kazi maarumu inashangaza watu wanajadili ndoa nyingi siku hizi zina vujika sababu kama nilivyo anza siwote wanawito wakuoa au kuolewa tatizo hatufanyi umakini katika kuchagua katika jambo ambalo kila siku binadamu anafanya makosa ni hili la kuoa na kuolewa tunavamia watu ambao hawana wito huo matokeo yake nivurugu na manyanyaso ili kuondoa hili ni vema tukamshilikisha mungu atupe ukweli kwa wale tunaotaka kuishi nao kama kweli wana huo wito naomba mwazo yenu wadau
 
kwa upande wangu ninachojua na kuamini ni kwamba mungu anawapenda binadamu wote na kuwajali kwakiwango sawa kwa sababu yeye ndie alowaumba,,, so sidhani kama ni sahihi kwamba anaweza kumchagulia mmoja mabaya/vitu/mke/mme na mwingine ikawa kinyume chake!
 
USIOE WALA KUOLEWA kama unaweza kuishi bila mume au mke bila kufanya uzinzi au kutamani lakini kama huwezi nauoe/uolewe kuliko kuweka tamaa'
 
tafuta mada kama yako zishajadiliwa sana kuna sehemu ya search utaziona.
 
mi najua kuna wito mmoja tu kwa mazao ya st kayumba, wito huo ni kingereza tu

kuoa ni attitude.
 
wito ni kazi ngumu ya kujitolea
sasa ndoa inakuwaje ni wito?
umelazimishwa?
kama huwezi fall in love kwa nini ujibebeshe mzigo wa wito?
 
wito ni kazi ngumu ya kujitolea
sasa ndoa inakuwaje ni wito?
umelazimishwa?
kama huwezi fall in love kwa nini ujibebeshe mzigo wa wito?

Nadhani hakujua maana ya wito,msamehe bure...kama alivyosema kongosho hapo juu kuoa au kuolewa ni attitude,its all about respect na self confidence ya ku-face majukumu ya ndani ya ndoa..Vijana wengi attittude hiyo hawana,full kuiga na kukurupuka mwisho wa siku ndani ya ndoa kunakuwa na drama tele kushinda za Isidingo..
 
wito ni kazi ngumu ya kujitolea
sasa ndoa inakuwaje ni wito?
umelazimishwa?
kama huwezi fall in love kwa nini ujibebeshe mzigo wa wito?

wito as sacrifice,ndoa nayo ni sacrifice,kulipokea limume lako likitoka job,kulipikia kulibrashia viatu sio wito huo lol
 
wito as sacrifice,ndoa nayo ni sacrifice,kulipokea limume lako likitoka job,kulipikia kulibrashia viatu sio wito huo lol

kama humpendi na hupendi hayo yote
umelazimishwa na nani?
wito wa nini?kwa faida ya nani?
 
kama humpendi na hupendi hayo yote
umelazimishwa na nani?
wito wa nini?kwa faida ya nani?


hata kama unampenda huoni hayo ni sacrifice.....mie siwezi aiseee lol,kama kuna mume....nampangia uroda mie ninavyotaka sio yeye,anaosha vyombo na kupiiga deki na kujifulia mwenyewe...then nina wito The Boss...hahahahah lol
 
unapendelea variety sio????lol

sijasema hivyo lol usiweke maneno mdomoni mwangu ila kiukweli hii dhana ya kuwa na mtu mmoja maishani imekaa kinafiki for me better kuwa single kuliko kumdanganya mtu utakuwa naye for the rest ya maisha,nitakuwa simtemdei na sijitendei haki....i hope wana jf right wing wanaoadvocate ndoa...hapa hawanisomi na wakinisoma wanisamehe mie mpitaji tu sio mkaaji lol
 
nashukulu wote mliotoa michango yenu lakini niwakukumbushe jambo moja kwa wale wenye imani kama yangu yaani wakirstu katika bibilia kuna namba kubwa sana ya watu walioka kaa hapa duniani na wakamtumikia mungu bila kuoa wala kuolewa tena vizuri .wito niliouzungumza mimi japo michango mingi haijauelewa ni ule wa mtu kuvamia mambo kwa mfano siku hizi kuna walimu ambao wanafaata pesa tu uwalimu wao hauwezi hata udakitari pia wapo hii kwa sababu yakutamani kitu huna wito nacho huwezi kufanya vizuri kama ambavyo angefanya mwenye wito nacho na hii iko mpaka kwenye ndoa matatizo ndipo yanapo anza maana wengi wanavamia tu kama fasheni natoa mfano mtu unadandia gari likiwa kwenye mwendo kasi ilihali hajuwi unatengemea nini kitatokea?
 
Back
Top Bottom