Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,082
- 4,262
'Hurted' ndo nini tena?
Umeona eehhh hata mie sijaelewa kabisa
'Hurted' ndo nini tena?
Siamini nachokiona hapa haya maneno yametoka kwako??? We mtoto wewe haya
Umeona eehhh hata mie sijaelewa kabisa
nyie acheni kuzungusha ka nineno la kiswahili tafuta kamusi km ni la kiigereza dictionay bu i hop ujumbe mmeupata!
na kwanini unainvest kwa mchumba mmoja? matokeo yake ndo hayo siku akiondoka unabaki kulia ngoja nikupm jinsi ya kuishi na hawa viumbe mtoto
Umeona eehhh hata mie sijaelewa kabisa
nyie acheni kuzungusha ka nineno la kiswahili tafuta kamusi km ni la kiigereza dictionay bu i hop ujumbe mmeupata!
Amekosea kidogo spellings. Ana maanisha ''Hunted'' kuwindwa!
Welcome to the club....get used to it, dust off and try again. I have been hurt many times to extent I am out of repairs.:eyebrows::eyebrows:
Tafuta mdhaifu wako nawewe umning'inize
Una haraka au unahasira???? Punguza munkari bidada humu ukipandisha mzuka yatakushinda
jamani mwacheni Smile aitwe Smile,kichwa chake anakijua mwenyewe,du!na kwanini unainvest kwa mchumba mmoja? matokeo yake ndo hayo siku akiondoka unabaki kulia ngoja nikupm jinsi ya kuishi na hawa viumbe mtoto
mnataka mfundishane nini hapa,cheating? danganyananeni!Smile, hebu niPM na mimi unipe hizo strategies
nina vichwa hapa mjini wengine wananiacha wengine nawaacha yaani fuull mathematics ila kweli sifanyi ngonojamani mwacheni Smile aitwe Smile,kichwa chake anakijua mwenyewe,du!
Bado analia....! Loreen, ukimaliza kulia futa machozi, kapenkhee na makamasi, nawa uso ujifute vizuriiii, ndio uje hapa ueleze vizuri ili tumchape huyo aliyekutenda!
Michelle!Smile nitashukuru na mimi ukini-PM, manake na mimi waga na-invest kwa mmoja....nasubiri!
kumbe huwa mnaita kuinvest eeeeh!na kwanini unainvest kwa mchumba mmoja? matokeo yake ndo hayo siku akiondoka unabaki kulia ngoja nikupm jinsi ya kuishi na hawa viumbe mtoto
potential cheaters mnazidi kuongezeka tu,haya bana.nipm na mm mamie plzzz..............nadhan ninauhitaj na ilo pia.