Nimetangaza Rasmi vita na Wanaume wote Tanzania

MZURI SANA

JF-Expert Member
Oct 19, 2023
241
546
Morning all guys humu ndani.

Nafsi yangu mie inaumia moyo wangu unatoa machozi kama nitapata nafasi ya kulipiza kisasi katika maisha yangu basi sitasita kufanya katika watu wengi washuhudie.

A man niliyemthamini ,njkampa moyo wangu ,nikamuonyesha upendo wa thabitileo hii amenikimbia jamani

Nimekuwa usingizi sipatinachoshukuru kwa Mungu miaka 8 aliyenitonesha kidonda na sasa kimepona.

Mnisamehe sana wana jf ila nimeanza kulipiza kisasi kwa wanaume wote waleninachofanya hata mie sipendi ila hisia zangu zinaniambia nifanye hivyo.

Wala mie sielezj nimefanya nini ila wanaume wanojifanya Malaya wameanza kukipata cha mtema kuni

Like serious Binti mzuri sana mie unifanye unavyotaka wewe.

Nimeshatangaza vita like palestina na israel

Asubuhi njema wapenzi.

Nawapenda sana.
 
acha kutafuto kiki ww mbwigo
 

Attachments

  • D645C35B-10A3-4057-873B-03F2466B04FD.jpeg
    D645C35B-10A3-4057-873B-03F2466B04FD.jpeg
    115.1 KB · Views: 4
Back
Top Bottom