Mahmood
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 7,909
- 2,477
Mbona katika vifungu vingine vya maandiko vinasema kuwa "Kimtiacho mtu najisi siyo kile kiingiacho mdomoni bali kitokacho"! Hivyo ni rukhsa kuliwa.
Kwani Biblia inapingana ?
Mbona katika vifungu vingine vya maandiko vinasema kuwa "Kimtiacho mtu najisi siyo kile kiingiacho mdomoni bali kitokacho"! Hivyo ni rukhsa kuliwa.
Leo Nikapiga kama vipande kumi, nikaagiza Serengeti nyingine ya baridi.
Nikiwa katikati ya zoezi la pombe nyama, mara wakaingia Polisi wakiwa na sare zao na kuelekea jikoni.
Huko wakawaweka chini ya ulinzi watumishi wote na kufanya msako mkali. Jikoni vimekamatwa vichwa viwili vya mbwa na ngozi mbili. Kuweni makini wenzangu, yasije kuwakuta yaliyonikuta.
wakuu tena niwaongezee habari nyingine,kwa wanaosafiri kwenda mbeya,iringa pale mikumi ukila nyama kama umewahi kuagiza nyama ukaambiwa ya mbuzi andika umeshawahi kula nyani!mi mwenyewe nishawahi kula nyani pale,watamu,wamewekewa spice kama nyama spice ya dinah bar pale usa!
tulikula pale mpaka tukajilamba ulimi,kumuuliza mpishi hii mbuzi kweli akawa anajing'atang'ata haeleweki,nilipokubali kuwa ni nyani bahati nzuri kumbe gazeti nililonunua siku hiyo liliandika habari ya mkazi wa mikumi kakamatwa na nyama na vichwa kadhaa vya nyani!nilisoma gazeti nikiwa tayari mbeya na mbuzi-nyani yule alikuwa katulia tu tumboni!
wakazi wa mikumi njooni mthibitishe habari hii!
Wapi Yesu kahalalisha nguruwe ? leta aya.
Kwani Biblia inapingana ?
Bibilia haipingani bali watu wanaitafsiri ndivyo sivyo!Kwani Biblia inapingana ?
Baada ya kusoma nahisi mate ya kichefuchefu yanajaa mdomoni! Najuuuuuuuuuuuuuta kuisoma!
Leo kwenye hangaika zangu za kutwa nzima nikaamua nirudi nyumbani.
Mama watoto hakutaka nitoke hivyo basi akaniambia mechi ya Brazil Vs Mexico niiangalizie nyumbani.
Nikakaa nyumbani nikiangalia mechi mwenyewe kama jini Njabagumu.
Katikati ya mpira nikaona siinjoi chochote, nikaaga kuwa naenda kununua vocha dukani.
Nikaingia taratibi baa ya jirani, nikaagiza Serengeti moja baridi sana, nikaipiga fasta kama mwanariadha aliyetoka kumaliza marathon akutanapo na jagi la maji. Haikunitosha niaagiza ya pili, kabla haijaja mara ghafla mama watoto akapiga simu "vp darling mbona unakawia?" ndio lililokua swali lake, nikamjibu niko na mwenyekiti wa mtaa tuna mazungumzo.
Nikaagiza mbuzi, daima huwa napenda jembe (wataalam wa mbuzi wanaelewa ninachokiongea). Baada ya nusu saa ikawa mezani.
Nikapiga kama vipande kumi, nikaagiza Serengeti nyingine ya baridi.
Nikiwa katikati ya zoezi la pombe nyama, mara wakaingia Polisi wakiwa na sare zao na kuelekea jikoni.
Huko wakawaweka chini ya ulinzi watumishi wote na kufanya msako mkali. Jikoni vimekamatwa vichwa viwili vya mbwa na ngozi mbili.
Na t ayari mie nsha kula huyu kiumbe mlinzi jamani.
KUlia nataka, kucheka nataka, najitapisha sitapiki.
Kuweni makini wenzangu, yasije kuwakuta yaliyonikuta.
Nyama ni nyama tu, hamna shida yeyote.Asia nyama ya mbwa mbona ni delicacy.Na kabla hujajua mbona uli-enjoy?
Acheni dhihaka mbona wanyalu wanakula na hawadhuliki!
Petro aliambiwa kwenye njozi Alichokiumba mola usikiite najisi
Kama haikudhuru endelea kula tuu!
Nakupa Pole kwa sababbu unahofu ya kula nyama ya Mbwa.
Lakini hiyo ni nyama kama ilivyo mbuzi, kwani watani zangu kutoka IRINGA MBONA WANAKULA, Na angalia Wahehe jinsi walivyo kuwa na afya.
NYAMA NYAMA NYAMA..... NYAMA ya MBWA...NYAMA.....
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Mimi niwapo Safarini huwa sina tabia ya kula kitu chochote zaidi ya Soda, maji na pipi.
Naogopa mambo kama haya,
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
mahmood,mara nyingi ukizungumzia kitu cha mwenzako kana kwamba wewe unakijua zaidi kuliko mhusika unajizuia wewe mwenyewe kupata maarifa!anyway ngoja nijaribu kukuweka sawa
kwa ufupi ni kwamba-ukristo umesimama ktk agano jipya!na agano jipya linazungumzia mambo ya zamani ktk misingi inayopaswa kuwa baada ya kristo kuja!na huo ndio ukristo!
ndio maana sisi RC ktk misa au ibada yetu kuna somo la kwanza na somo la pili,yote yanaendana lakini mwisho wa siku tunasimama ktk somo la pili ambalo hutoka agano jipya!na huo ndio ukristo
na Yesu alishasema kiingiacho si najisi bali kitokacho!labda nikuulize-kipi ni bora kwako-huwa unakunywa soda,lakini ukirudi nyumbani unapiga mkeo na watoto na kila aina ya fujo,au unakunywa pombe lakini ukirudi nyumbani umtulivu na kila aina ya upendo kwa wanao na mkeo?unadhani mkeo na watoto wakikuona ktk hali hizo mbili wakaulizwa baba anywe kinywaji gani watachagua soda?
mahmood, Mungu amefanya kazi na watu wengi na kwa namna nyingi. kabla ya walawi, alikuwepo adamu, na baadaye NUHU. NUHU aliambia kila mmea wa kondeni itakuwa mboga kwenu, na kila kitambaacho kilcho hai kitakuwa nyama/chakula chenu. hapo hajabagua nini cha kula na nini cha kuacha. Ukija kwa walawi, walawi walikuwa ni watu walioteuliwa na MUNGU kwa kazi maalum ya kulihudumia hekalu. sasa ili kuwatenga na jamii nyingine, walipewa sheria ya kutokula baadhi ya wanyama. Lakini sheria hiyo, haikuwahusu watu wengine. kwa mfano, wakati walawi walikuwa hawali, wayuda, wabenyamini, waisrael(yakobo) hawakukatazwa kutumia kitu hiyo ispokuwa walawi tu. sasa wewe mahmood, unakataa kula nguruwe, wewe ni mlawi? wewe ni msukuma, mnyamwezi, mha, mnyantuzu n.k hivyo sheria hiyo haikuhusu mkuu.Na nguruwe je ? mbona Biblia inasema kuwa "Nguruwe ni najisi kwenu. Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao" ? Biblia inasema hivi, "Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu. Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu." (Mambo ya Walawi 11:07-08)
.[/B] (si kula nguruwe ni halali, kula nguruwe ni haramu kabisa, Biblia inasema hivyo kwa lugha safi kabisa Mambo ya Walawi 11:07-08)
Soma aya hizo za Biblia vizuri (Matayo 15:1-20)
kula nguruwe ni haramu , Biblia inasema hivyo kwa lugha safi kabisa, Biblia inasema (katika Mambo ya Walawi 11:07-08)
Naye nguruwe ingawa anazo kwato zilizogawanyika sehemu mbili, lakini hacheui, ni najisi kwenu. Kamwe msile nyama yao wala kugusa mizoga yao, wao ni najisi kwenu.
mahmood, Mungu amefanya kazi na watu wengi na kwa namna nyingi. kabla ya walawi, alikuwepo adamu, na baadaye NUHU. NUHU aliambia kila mmea wa kondeni itakuwa mboga kwenu, na kila kitambaacho kilcho hai kitakuwa nyama/chakula chenu. hapo hajabagua nini cha kula na nini cha kuacha. Ukija kwa walawi, walawi walikuwa ni watu walioteuliwa na MUNGU kwa kazi maalum ya kulihudumia hekalu. sasa ili kuwatenga na jamii nyingine, walipewa sheria ya kutokula baadhi ya wanyama. Lakini sheria hiyo, haikuwahusu watu wengine. kwa mfano, wakati walawi walikuwa hawali, wayuda, wabenyamini, waisrael(yakobo) hawakukatazwa kutumia kitu hiyo ispokuwa walawi tu. sasa wewe mahmood, unakataa kula nguruwe, wewe ni mlawi? wewe ni msukuma, mnyamwezi, mha, mnyantuzu n.k hivyo sheria hiyo haikuhusu mkuu.
mahmood, Mungu amefanya kazi na watu wengi na kwa namna nyingi. kabla ya walawi, alikuwepo adamu, na baadaye NUHU. NUHU aliambia kila mmea wa kondeni itakuwa mboga kwenu, na kila kitambaacho kilcho hai kitakuwa nyama/chakula chenu. hapo hajabagua nini cha kula na nini cha kuacha. Ukija kwa walawi, walawi walikuwa ni watu walioteuliwa na MUNGU kwa kazi maalum ya kulihudumia hekalu. sasa ili kuwatenga na jamii nyingine, walipewa sheria ya kutokula baadhi ya wanyama. Lakini sheria hiyo, haikuwahusu watu wengine. kwa mfano, wakati walawi walikuwa hawali, wayuda, wabenyamini, waisrael(yakobo) hawakukatazwa kutumia kitu hiyo ispokuwa walawi tu. sasa wewe mahmood, unakataa kula nguruwe, wewe ni mlawi? wewe ni msukuma, mnyamwezi, mha, mnyantuzu n.k hivyo sheria hiyo haikuhusu mkuu.
inawezekana kwa vile @Madela Wa- Madilu kaandika lugha ya malkia hamjamuelewa: acha ninukuu kwa kiswahili halafu mjibu hili swali:
Walawi 11:4-5
msile ngamia, kwani hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika sehemu mbili. kwenu huyo ni najisi.