Mkuu ingia PlayStore download app inaitwa "DevCheck Device and System Info" ina MB 6.7 tuNa ninaendelea kugundua maajabu wala hai screen short. Afu ukiwasha haiandiki samsung galax a34 . inaandika samsung galax basi. Yele uwiiiiiiiiii!!! Nimepigwa. Japo sijadhibitisha sana. Kuna jamaa mmoja humu huwa anajua simu sana mkwawa jamaa angenisaidia ningepona .kuna kipindi pia alisha wahi kunisaidia nikagundua simu ni oj ilikuwa j7 prime
Moja ya sifa ya Samsung Galaxy A34: Ni miongoni mwa simu za bei rahisi halafu zina "Under display fingerprint"Zile features zote za samsung hamna iko tu kama infinix afu batton ya kuzima simu haina ukizima inakuletea vitu vingine vingi. Au nimepigwa nimeinunua 700,000. Na omba mwenye njia nyingine jinsi ya kuangalia simu original anisaidie
Hii nzrMkuu ingia PlayStore download app inaitwa "DevCheck Device and System Info" ina MB 6.7 tu
App hii itakupa information zote za simu yako halafu utafananisha uone kama zinaendana na zile za Samsung Galaxy A34 5GView attachment 2863521
Samsung A52, A54, unaweza kuzifananisha na simu gani ya Tecno!!! Hauzijui Samsung weweA series ni simu zilizotengenezwa kwa ajili ya kupambana na Tecno na Infinix. Zinaendana ubora
Unaripoti huu uongo ukiwa wapi?Samsung OG ni S na Note series' ndy og
ukiona mtu kabla ya kukunua simu anakuja kuulizia mitandaoni ujue huyo ni sakara, kama una hela huwez kukoksa connectiona ya simu boraMatajiri mna hela za kuchezea aisee. Laki 7 nzima ukatoa hata bila kujiridhisha kama unapata kitu orijino ama la!
Huyu alikutana na wale wauzaji wa kariakoo. Yaan wanakuharakisha ulipe kama vile kuna sehemu wanawahi, ukitaka kukagua wanakwambia lipia kwanza maana smu ina seal kwa hyo lipa, ndo tukate hii seal .Matajiri mna hela za kuchezea aisee. Laki 7 nzima ukatoa hata bila kujiridhisha kama unapata kitu orijino ama la!
Napenda kwanza nijiridhishe kama ni fake ndo nirudishe
Kasema ukweli A series ni midrange phones hazina tofauti na infinix au vivo midrange au hata tecno.Hiyo simu umeinunua wapi? Kama watu wanatoa copy ya iPhone kwa mwonekano ni iPhone lakini sio! Watashindwaje Samsung Galaxy! Samsung ni simu bora Next to IPhone! Hiyo simu ulipigwa kwa kupenda vya bwerere!
Bila shaka umepigwa simu fake. Yanu haiscreenshot? Hata infinix zina screenshotNa ninaendelea kugundua maajabu wala hai screen short. Afu ukiwasha haiandiki samsung galax a34 . inaandika samsung galax basi. Yele uwiiiiiiiiii!!! Nimepigwa. Japo sijadhibitisha sana. Kuna jamaa mmoja humu huwa anajua simu sana mkwawa jamaa angenisaidia ningepona .kuna kipindi pia alisha wahi kunisaidia nikagundua simu ni oj ilikuwa j7 prime
Kwa maana ya neno midrange ni sahihi kwani ata wao Samsung wanaziita hivo ila kuhusu ubora sio kweli zinalingana na Tecno au infinixKasema ukweli A series ni midrange phones hazina tofauti na infinix au vivo midrange au hata tecno.