Nimekuja na mrejesho wa Samsung A series

Na ninaendelea kugundua maajabu wala hai screen short. Afu ukiwasha haiandiki samsung galax a34 . inaandika samsung galax basi. Yele uwiiiiiiiiii!!! Nimepigwa. Japo sijadhibitisha sana. Kuna jamaa mmoja humu huwa anajua simu sana mkwawa jamaa angenisaidia ningepona .kuna kipindi pia alisha wahi kunisaidia nikagundua simu ni oj ilikuwa j7 prime
Mkuu ingia PlayStore download app inaitwa "DevCheck Device and System Info" ina MB 6.7 tu
App hii itakupa information zote za simu yako halafu utafananisha uone kama zinaendana na zile za Samsung Galaxy A34 5G
IMG_20240106_133630.jpg
 
Zile features zote za samsung hamna iko tu kama infinix afu batton ya kuzima simu haina ukizima inakuletea vitu vingine vingi. Au nimepigwa nimeinunua 700,000. Na omba mwenye njia nyingine jinsi ya kuangalia simu original anisaidie
Moja ya sifa ya Samsung Galaxy A34: Ni miongoni mwa simu za bei rahisi halafu zina "Under display fingerprint"

Mkuu Samsung Galaxy A34 5G ina fingerprint chini ya kioo kama ilivyo tu kwa simu expensive, angalia kama yako inayo.
 
Matajiri mna hela za kuchezea aisee. Laki 7 nzima ukatoa hata bila kujiridhisha kama unapata kitu orijino ama la!
Huyu alikutana na wale wauzaji wa kariakoo. Yaan wanakuharakisha ulipe kama vile kuna sehemu wanawahi, ukitaka kukagua wanakwambia lipia kwanza maana smu ina seal kwa hyo lipa, ndo tukate hii seal .

Yaan k.koo kupigwa ni nje nje, wakiona una uelewa juu ya simu wanaanza kuambizana eti hii ni ya dubai au tanzania?? (Wakimaanisha hii ni copy au og)??

Ukiwa mdadisi sana utaskia wanakwambia "si unaona ina hii karatasi ya warrant kwny box" mm niliwaangaliaaa nkawaambia yan nishindwe kukagua cmu eti kisa kikaratas cha warrant ambacho unaweza print na kukubandika tu in less than 1minute!!!
 
Punguza mapepe, ingia gsm arena (utube)ukaangalie review ya hiyo simu ,kwa ushauri ...siku ingine ukitaka kununua simu ,tv au kitu chochote ingia YouTube ukacheki reviews zake ili ujue ina sifa gani ,changamoto zake na uomara wake.
 
Hiyo simu umeinunua wapi? Kama watu wanatoa copy ya iPhone kwa mwonekano ni iPhone lakini sio! Watashindwaje Samsung Galaxy! Samsung ni simu bora Next to IPhone! Hiyo simu ulipigwa kwa kupenda vya bwerere!
Kasema ukweli A series ni midrange phones hazina tofauti na infinix au vivo midrange au hata tecno.
 
Na ninaendelea kugundua maajabu wala hai screen short. Afu ukiwasha haiandiki samsung galax a34 . inaandika samsung galax basi. Yele uwiiiiiiiiii!!! Nimepigwa. Japo sijadhibitisha sana. Kuna jamaa mmoja humu huwa anajua simu sana mkwawa jamaa angenisaidia ningepona .kuna kipindi pia alisha wahi kunisaidia nikagundua simu ni oj ilikuwa j7 prime
Bila shaka umepigwa simu fake. Yanu haiscreenshot? Hata infinix zina screenshot
 
Kasema ukweli A series ni midrange phones hazina tofauti na infinix au vivo midrange au hata tecno.
Kwa maana ya neno midrange ni sahihi kwani ata wao Samsung wanaziita hivo ila kuhusu ubora sio kweli zinalingana na Tecno au infinix

Katika A series kuna hizo midrange ambazo huwezi kulinganisha na kina Tecno na kuna low range ambazo ni kweli unaweza linganisha na kina Tecno

Mfano nitajie simu moja Tecno/infinix ambayo kiubora wa motherboard, software, specifications, technology ambazo unaweza kuziweka kundi moja na A series midrange Samsung kama A52 5G, A54 5G, A73 5G

Nyie mnalinganisha A series zile za low budget kama A23,A14 nk na hizo Tecno na infinix ndomana mnakuja na cheap conclusion kuwa A series ni Sawa na Midrange za Tecno na infinix, kuna Samsung Midrange ndo flagship ya kampuni zingine kiongozi
 
Back
Top Bottom