Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,822
- 59,429
Jamani mbona nimeshajiuzulu hapa!!We Uporoto najua unachokitaka...kwa niaba ya mchungaji nakwambia UTAKULA KWA MACHO!sasa mbona una chimba chini na vidole vya mguu?
Jamani mbona nimeshajiuzulu hapa!!We Uporoto najua unachokitaka...kwa niaba ya mchungaji nakwambia UTAKULA KWA MACHO!sasa mbona una chimba chini na vidole vya mguu?
Asante G kwakuzimia..kufa na kuoza juu yangu!Ila utanisamehe ninae wa ubani wangu Baba mchungaji!!Nahope utaweza kuyakabili mauchungu kisha ufanikiwe kumpata wako mwenyewe..umpende nae akupende!Wako daima Lizzy Masa!
Ye ndo anataka kunidanganya mimi mami!Kisa mchungaji hayupo anadhani ndo ntadanganyika!lizzy jamani. Mwenzio anataka kudanganywa danganywa.
Si umtumie Private message?
Ye ndo anataka kunidanganya mimi mami!Kisa mchungaji hayupo anadhani ndo ntadanganyika!
Ye ndo anataka kunidanganya mimi mami!Kisa mchungaji hayupo anadhani ndo ntadanganyika!
SLP ila sikwambii namba usije ukamtuma besti yako wa posta aichakachue!Hii unaituma kwa SLP au SLB?
ahh wewe mkubali mwenzio
Hii unaituma kwa SLP au SLB?
broken hat iko pata mimi.......but everising simd pafekt???
ahh wewe mkubali mwenzio
It is!Kwa mimi na mchungaji!
jamani Rose mnataka hata mumuzie Lizzy kwa Gbollin
hahaha
hahah sasa mwenzake mpk anataka ajitundike asi bora tu amkubalie japo cha uwongo uwongo
Hivi ushauri ni lazima uuchukuwe bila ku-mix with yuaz?!! sasa kama consultant wa ISC, hebu mshauri huyu manzi.kupitia kwa diwan wa chama husika kata husika.
Rozeee....hebu nikubalie mm kiowongo uwongo......halafu unipe mimi ki-nguo nguo.hahah sasa mwenzake mpk anataka ajitundike asi bora tu amkubalie japo cha uwongo uwongo
Nimefurahi kwa kutambua nachotaka mamii siku zinazidi kwenda sioni mabadiliko....hali imekuwa ngumu Lizzy...Jamani mbona nimeshajiuzulu hapa!!We Uporoto najua unachokitaka...kwa niaba ya mchungaji nakwambia UTAKULA KWA MACHO!
anakwambia mazoez hayo ni kwa ajili ya katiba mpya...mpk kieleweke