NIMEKUFA, NIMEOZA KWA LIZZYMIND "LizzY"

Nimeipenda hiyo ya kumalizia wako daima.... hata kama ana ubavu wake 'baba bmchungaji' lakini atabaki kuwa wake daima... sihamasishi usaliti

Hahaha yeah ntabaki kua rafiki yake daima ila mchungaji ndo ze ril thing!
 
Si umeona Lizzy hataki niuwawe so at least its a start,na kule kwako si salama we endelea ku-flirt na Pearl utakuta unalala nje lol!
On the second thought...ngoja nimwambie baba mchungaji aazime ya Finest kwa ulinzi zaidi!
 
Du Mistari saafi kwa Lizzy
Ila Jibu lako nadhani litamfanya ajiue kama alivyosema
hahahahaha maana hakukunywi maji kwa sababu anakuona ndani ya Glass
 
Si umtumie Private message?

Ehhhh Bwana we!!, mbona mambo haya tena, kutongozana kwani mtu tanagazee?????, Pliz twajua umempenda, Kuna kidude kile cha itwa PM. Yaani private message, tumieni jamani!!!!
 
Shem bado Upo Roto, Brigita na GB wanatuma PM?

Yani shem..zis pipo a draivin mi kreyzi!Kutwa kuniahidi nyumba..mara sijui gari..mvua ya pesa!Utadhani wameambia baba mchungaji hatimizi majukumu yake mpaka nidate na vijisenti!
 
Yani shem..zis pipo a draivin mi kreyzi!Kutwa kuniahidi nyumba..mara sijui gari..mvua ya pesa!Utadhani wameambia baba mchungaji hatimizi majukumu yake mpaka nidate na vijisenti!

Hao dawa yao ni kuwa ignore! Hebu check mail inawezekana bro amekutumia mail
 
Ehhhh Bwana we!!, mbona mambo haya tena, kutongozana kwani mtu tanagazee?????, Pliz twajua umempenda, Kuna kidude kile cha itwa PM. Yaani private message, tumieni jamani!!!!

Wengine wanapenda uchochoroni..wengine kwenye uwazi!Tatizo liko wapi?
 
Hao dawa yao ni kuwa ignore! Hebu check mail inawezekana bro amekutumia mail
Ntafuata ushauri shem!Naomba unifikishie ujumbe kwa baba mchungaji wangu...tell him I miss him like crazy...ana I love him so...so!
 
Back
Top Bottom