NIMEKUFA, NIMEOZA KWA LIZZYMIND "LizzY"

Asante G kwakuzimia..kufa na kuoza juu yangu!Ila utanisamehe ninae wa ubani wangu Baba mchungaji!!Nahope utaweza kuyakabili mauchungu kisha ufanikiwe kumpata wako mwenyewe..umpende nae akupende!Wako daima Lizzy Masa!


Gbollin...chungu kumeza japo dawa!jikaze mkuu uanze upya...
 
Jamani mbona nimeshajiuzulu hapa!!We Uporoto najua unachokitaka...kwa niaba ya mchungaji nakwambia UTAKULA KWA MACHO!
Nimefurahi kwa kutambua nachotaka mamii siku zinazidi kwenda sioni mabadiliko....hali imekuwa ngumu Lizzy...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom