Nimekua Adicted na MusterB.....

Joh666

Member
Aug 1, 2014
38
4
Ni takrribani miaka 7 ilipopita nlipoanza kujichua almaarufu kama "Punyeto" mpaka sasa sioni dalili za kuachana na hili janga. Naombeni ushauri wana JF.
 
dawa ya hiyo kitu ni kuwa na mwanamke uwe unailazakwenye k kwa siku ishirini na moja litaisha tu
 
Ni takrribani miaka 7 ilipopita nlipoanza kujichua almaarufu kama "Punyeto" mpaka sasa sioni dalili za kuachana na hili janga. Naombeni ushauri wana JF.
 
Ni takribani miaka 7 imepita nlipoanza kujichua almaarufu kama "Punyeto" mpaka sasa sioni dalili za kuachana na hili janga. Naombeni ushauri wana JF.
 
Jiepushe kuangali picha zenye fiashiria vya ngono, pia kukaa katika hali ya upweke na kuwaza mambo ya ngono. Unapo jisikia kupiga nyeto nenda kwenye watu upige story, taratibu taratibu utajikuta unaacha, hicho sio kitu cha ghafla kuacha.
 
Ninao tena wa3 lakin nisipokua nae hata m1 kwa siku lazma nipige hii ki2. Niliwai piga k hadi mwezi sioni mabadlliko.
 
Kaa na pilipili kila ukijisikia tu paka mikono pilipili siku saba utasahau ilo nyeto
 
Jiepushe kuangali picha zenye fiashiria vya ngono, pia kukaa katika hali ya upweke na kuwaza mambo ya ngono. Unapo jisikia kupiga nyeto nenda kwenye watu upige story, taratibu taratibu utajikuta unaacha, hicho sio kitu cha ghafla kuacha.
Hapo kwenye kwenda ndio kazi, akili inakwambia piga kimoja halafu uende, ukishapiga kimoja unaghairi kwenda kupiga story.
 
Sawa, mwili hua una nguvu sana unapo uruhusu ukutawale. Nikiulize swali, hali ya kutamani kupiga nyeto hua inakutokea katika mazungira gani? ama kipi hasa hua kina kusukuma kupiga nyeto?

Hapo kwenye kwenda ndio kazi, akili inakwambia piga kimoja halafu uende, ukishapiga kimoja unaghairi kwenda kupiga story.
 
Punyeto ina athari kubwa.... Utapokuja kuoa utashindwa kusimamisha on time au ikapoteza kabisa uwezo wa kusimamisha...wakat mwingine ikakupa na kibiongo kabisa..
 
Pindi nionapo kitu chochote kinachonishawishi na mjamaa nae anavimba ghafla. Hiyo hali haitok mpaka nimsugue "Mjamaa"
 
Huyu Gwaji....!! Mwenye kashfa za kupora wake za watu!??? Aliwahi kukuombea?
 
Pindi nionapo kitu chochote kinachonishawishi na mjamaa nae anavimba ghafla. Hiyo hali haitok mpaka nimsugue "Mjamaa"

mkono wako unafanya hizo mishipa kwenye mbo.o iwe sugu hivyo ukiwa na demu hutapata ladha utaona kama k inapwaya.
jitahidi uache hii kitu ni mbaya sana dogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom