Msaada kwa hili tatizo

Sep 8, 2021
55
74
Habari naomba kusaidiwa tatizo langu ambalo nimeishi nalo kwa muda mrefu sasa lakini bado sijalipatia majibu na limeendelea kunitesa.

iko hivi miaka mitatu iliyopita niliamua kuachana kabisa na tabia ya kujichua pamoja na kuangalia picha za ngono na katika hilo nimemudu kuweza kabisa nilianza kidogo kidogo na ku relapse mara kadhaa lakini nilikuja kufaniukiwa na kuishinda hii tabia

sasa shida kubwa ni msongo wa mawazo mkubwa nao ishi nao baada yakuachana na hii tabia baada ya kuacha nimejikuta sina furaha kabisa, usingizini nashituka shituka, na ota ndoto za ajabu, uywezo wangu wakujiamini umepungua sana nimekua mtu mwenye hofu na nyuma sikua hivyo roho nyingine inanaambia nirudi nilikotoka lakini safari yangu haikuwa rahisi kuacha hii tabia ambayo nilikuwa siipendi, wasiwasi wangu ni hii hali nayoipitia baada yakuachana na hi tabia kiukweli ni maumivu makali sana like a mental torcher ya mimi na mimi hivyo nimekuja kwenu kama kuna yoyote anaweza nisaidia katika hili. Asante
 
Uo ndio uraibu wenyewe umeacha ila bado akili haijakubali. Udirudi maana ukirudi ndio mpaka kifo kiwatenganishe.
 
Mkuu icho nikipindi cha mpito ukiweza kuvuka utakuwa mtu poa sana
Ushauri wangu jitaidi kuwa busy au kufanya mazoezi ili mwili wako uchoke pia jitaidi kujichanganya na watu maana kukaa pekeyako muda mwingi unajikuta unawaza vitu vya tofauti

Mwisho kabisa lkn sio lazima inabidi utafute Mpenzi au mke kabisa maana mwili wako ulizoea kupunguza protein Kila siku kwa njia ya mbegu ivyo jitaidi kuludi kwenye hali yako ya awali pia jitaidi kufocus unavyo piga show Mkuu
 
Una muda gani tangu uache hiyo tabia ya kujichua na kuangalia pono, kama umesha vuka miezi 3 hauja jichua wala kuangalia pono basi endelea kushiriki hilo tendo la ndoa na mkeo kama kawaida kama hauja oa basi oa maana hapo mwili unahitaji kumwaga ila una uzuia...sasa fanya ile kumwaga kwa kawaida..kutana na mwanamke mwili urudi kwenye asili yake.
Weka sala pia maana kuna roho zina kuvuta kutaka wewe urudi kwenye uchafu wa zamani kwahiyo don't give up endelea kupambana kuzikataa hizo roho kwa sala.
 
Habari naomba kusaidiwa tatizo langu ambalo nimeishi nalo kwa muda mrefu sasa lakini bado sijalipatia majibu na limeendelea kunitesa.

iko hivi miaka mitatu iliyopita niliamua kuachana kabisa na tabia ya kujichua pamoja na kuangalia picha za ngono na katika hilo nimemudu kuweza kabisa nilianza kidogo kidogo na ku relapse mara kadhaa lakini nilikuja kufaniukiwa na kuishinda hii tabia

sasa shida kubwa ni msongo wa mawazo mkubwa nao ishi nao baada yakuachana na hii tabia baada ya kuacha nimejikuta sina furaha kabisa, usingizini nashituka shituka, na ota ndoto za ajabu, uywezo wangu wakujiamini umepungua sana nimekua mtu mwenye hofu na nyuma sikua hivyo roho nyingine inanaambia nirudi nilikotoka lakini safari yangu haikuwa rahisi kuacha hii tabia ambayo nilikuwa siipendi, wasiwasi wangu ni hii hali nayoipitia baada yakuachana na hi tabia kiukweli ni maumivu makali sana like a mental torcher ya mimi na mimi hivyo nimekuja kwenu kama kuna yoyote anaweza nisaidia katika hili. Asante
tafuta bhange uanze kuvuta sasa ni muda muafaka
 
Back
Top Bottom