nimekoma kutongoza jf!

Afu ujue huyu mtoto wala sio wa kwenu nilimbambika niits kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo .....ni mtoto halali wa Vin
Diesel
ama kweli mwanamke ni zaidi ya umjuavyo,yaani kuhangaika kote huko tafuta ambulance kwenda mwananyamala,tukanunua pamba,nyuzi etc,tukawakatia chembamba manesi kumbe tumeshikishwa pembe?
 
Last edited by a moderator:
ama kweli mwanamke ni zaidi ya umjuavyo,yaani kuhangaika kote huko tafuta ambulance kwenda mwananyamala,tukanunua pamba,nyuzi etc,tukawakatia chembamba manesi kumbe tumeshikishwa pembe?

Hahahahaha....utajiju kama ulikuwa hujui
 
Back
Top Bottom