nimekoma kutongoza jf!

looooooooo!!!!!!!!!!we Bishanga hojakoma tu na ulivyosutwa kipindi kileeee.bado una hamu ya kuwekwa kati tena eeeh,binafsi natamani sana kupata hiyo nafasi maana msuto wa kwanza ndo kwanza nilikuwa jamvini naingia so nafasi kama hiyo ikijitokeza tena sintoilazia damu yakkhhhhhheeeeeee..........

Sijakuelewa mkuu,unatamani kusuta au kusutwa?
 
Last edited by a moderator:
Kamsute Zinduna uone cha moto au gfsonwin.

lo mwanaume wewe kwani mi sijawaona!!!!!!!!!!mi nataka haswaaaaaaaaaaaa kukusuta wewe ati.wao wamekosa nini mpaka wasutwe???????????nakutaka wewe unayegonganisha mabinti.na kwa taarifa yako Zinduna namwomba tuunde tume ya kukusuta fasta,kwa hiyo wakati wowote jiandae umenielewa we Bishanga????????
 
Zinduna ananigwaya wewe!
 
Last edited by a moderator:
anakugwaya kitu gani wewe????????huna lolote hizo ni kelele za chura tu na wala hazimzuii ng'ombe kunywa maji.

Alianzisha ligi na bishanga akaishia njiani,chezeiya bishanga wewe.
 
Alianzisha ligi na bishanga akaishia njiani,chezeiya bishanga wewe.

wewe acha mbwembwe hizo.......haya sema sasa nimwambie zinduna hayo maneno yako???????????najua utaanza kujin'gatang'ata huna jipya babu eeeehhhhhhhhhhhh.
 
Back
Top Bottom