Nimekisoma kitabu mwaya....

mzee nakukubali...... Hivi ile line yako ya simu bado inakusumbua??? Mwaka mpya line zote huwa zinakataa lakini ile yako uipendayo nadhani itakubali
 
mzee nakukubali...... Hivi ile line yako ya simu bado inakusumbua??? Mwaka mpya line zote huwa zinakataa lakini ile yako uipendayo nadhani itakubali

Baba mambo ya kitabu tuuu, ukianza kukisoma huachi kamwe,wazee kwa vijana hukipenda, kina kurasa moja tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, kazi kwako SautiYasababu....
 
Mwaka mpya jamani na wenye mafanikio, KAMA NI KITABU SOMA KWA MAKINI, KAMA NI BATA KULA KWA KUJINAFASI IKIWA NI SIMU TUMIA LINE INAYOKUPA RAHA MSTAREHE, MVUA KAMA IKINYESHA KWAKO MUHERI NA UKINYESHEA PIA MUHERI, HEWALA NGOJA MIE NIKAFANYE MAMBO KULE NYUMA YA PAZIA MAANA MBELE KATU SIRUHUSIWI....KAMA UNATAKA NIKUPIGIA NIBEEPU TU KAMA UNA TIGO NITAINGIA HEWANI....PEACE AND LOVE 2011
 
Back
Top Bottom