Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Hahaha! Acha nicheke mie! Hahaha! LOL! Mpwa ulitendwaz na mshikiz? Pole sana! Hehehe!vivian, mbona ulitutenda hivyo? ngalia PM.
Hahaha! Acha nicheke mie! Hahaha! LOL! Mpwa ulitendwaz na mshikiz? Pole sana! Hehehe!vivian, mbona ulitutenda hivyo? ngalia PM.
duh!Itabidi nikubali 2 maana nina stress imejaa gunia, lakini hapo kwenye ratio mmmmmh! roho inauma roho inauma lakini wivu sina, when is the big day???????
Hahaha! Acha nicheke mie! Hahaha! LOL! Mpwa ulitendwaz na mshikiz? Pole sana! Hehehe!
Hehehe! Haya bana! Angalia asikufanzie mpaka kwa mtandao! Watakucheka watu hapo kwa ankali! LOL!we acha tu sasa hivi nina tele conference naye kutoka loitokitoki!
duh!
nimeshakamata kifaa hivi hivi!lol
sasa hiyo big day unamaana gan?
enewei tunaweza kwenda PI-EMU TAFADHAL?
hehehehe!C U THERE!!! kwa msisitizo
hehehehe!
dah!wadau nadhani wenyewe mmethibitisha kijana wenu ninatisha KWA KUDUMISHA MILA!
napotea kidogo nitakuwa PM na shemeji yenu wa pili,LF!
CIAO
hehehehe!
dah!wadau nadhani wenyewe mmethibitisha kijana wenu ninatisha KWA KUDUMISHA MILA!
napotea kidogo nitakuwa PM na shemeji yenu wa pili,LF!
CIAO
hahahahaha!Afu we unaniuzigi kweli. Na umri huo ndio unatafuta wa pili leo? Mila zitakushinda sasa!
Ayi!!! so fast LF!!!!
life is so fast!
bht fasta fasta maana mastress yanataka kuni kili, nataka nimringishie ex kuwa kuna mtu nimempata atasubiri.Ayi!!! so fast LF!!!!
yeah
bht fasta fasta maana mastress yanataka kuni kili, nataka nimringishie ex kuwa kuna mtu nimempata atasubiri.
Mkuu kuna kila dalili huko uswazi from day 1 ulianza kuungurumisha mashine sterio tupu.Taratibu mkuu bado tunakuhitaji humu JF!!Akiendelea na tabia nzuri nazaaa nae mtoto kabisa
Mkuu, anakaa maeneo gani huku Kigogo? Mimi nakaa huku... si vibaya ukini-introduzi ili pale anapopata dharura ndogondogo za vijisenti wakati wewe uko mbali kidogo niwe namhudumia shemeji yangu kipenzi!Mambo ya uswazi wakuu asikwambia n'tu nimekamatika kwa kifaa kimoja cha uswazi kinaishi Kigogo, ananiona mm kama ndo Boss wake maana matatizo madogo madogo ninamtatulia, aliniambia kodi ya chumba kwa mwezi 12000/= mm nikalipa ya mwaka mzima 144,000/= si mnakumbuka yule wa kulitachi alikuwa ananikamua 70 kwa wiki sasa huyu ndo hivyo naona nimeona pa kupumnzika, nikienda anapo ishi mimi naonekana kama baba mwenye nyumba. Kikubwa mtoto ameumbika balaa, mtoto amewiva naogopa hata kuwaonyesha hata wapwazi wasije wakanizidi dau maana pale ndipo pumnziko langu jipyaa. Mkiona nasema nipo Kigogo wapwa msishangae nipo kwa mtoto wa uswazi. Asili yake nitawatajia baadae maana napata uhondo wa hali ya juu.
Watoto wa uswazi wanalipa sana ndilo pumnziko langu la milele.
hahahahaha!
huyu ni wa pili UKIMUACHA ELIZA na ANNA
Mkuu, anakaa maeneo gani huku Kigogo? Mimi nakaa huku... si vibaya ukini-introduzi ili pale anapopata dharura ndogondogo za vijisenti wakati wewe uko mbali kidogo niwe namhudumia shemeji yangu kipenzi!