Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,445
Mambo ya uswazi wakuu asikwambia n'tu nimekamatika kwa kifaa kimoja cha uswazi kinaishi Kigogo, ananiona mm kama ndo Boss wake maana matatizo madogo madogo ninamtatulia, aliniambia kodi ya chumba kwa mwezi 12000/= mm nikalipa ya mwaka mzima 144,000/= si mnakumbuka yule wa kulitachi alikuwa ananikamua 70 kwa wiki sasa huyu ndo hivyo naona nimeona pa kupumnzika, nikienda anapo ishi mimi naonekana kama baba mwenye nyumba. Kikubwa mtoto ameumbika balaa, mtoto amewiva naogopa hata kuwaonyesha hata wapwazi wasije wakanizidi dau maana pale ndipo pumnziko langu jipyaa. Mkiona nasema nipo Kigogo wapwa msishangae nipo kwa mtoto wa uswazi. Asili yake nitawatajia baadae maana napata uhondo wa hali ya juu.
Watoto wa uswazi wanalipa sana ndilo pumnziko langu la milele.
Watoto wa uswazi wanalipa sana ndilo pumnziko langu la milele.