Nimekamatika uswazi

jongea kwenye altare ya bwana uishi maisha ya amani na bila kutenda dhambi. Kila siku najuta kwa nini nilichelewa kuuoa. Nafurahia sana ndoa yangu.

Shukrani lakini altare nitajongea na Lily Flower si unaona amempiga chini jamaa wa longo longo!
 
niambie masharti mama!.......
i am ready to love you!
Masharti najua u can handle them ni madogo tu ni kama yale niliyomkomalia nayo ex lakini nikiangalia tarehe hapo kwenye signature yako it sayz a lot kuna ukweli wa kuniwowa????
 
ndiyo mama,NITAKUWOWA!yule nae NITAMUWOWA!ingawa yule itabidi awe bi-mkubwa,wewe bi-mdogo.na masharti yako nitayamudu sababu orede BI-MKUBWA yupo nitakuwa napona kama kawa hadi utakapokuwa tayari.......!

by the time i finish with you nitakuwa NAWOWA mwingine wa tatu na wanne!LAKINI WEWE UTAPENDWA ZAIDI!

I PROMISE!...cross my heart:D
marry me!I NEED YOU!i love you
 
I can see dumisho la mila LIVE! Umekula senksi pale!
 
ndiyo mama,NITAKUWOWA!yule nae NITAMUWOWA!ingawa yule itabidi awe bi-mkubwa,wewe bi-mdogo.na masharti yako nitayamudu sababu orede BI-MKUBWA yupo nitakuwa napona kama kawa hadi utakapokuwa tayari.......!

by the time i finish with you nitakuwa NAWOWA mwingine wa tatu na wanne!LAKINI WEWE UTAPENDWA ZAIDI!

I PROMISE!...cross my heart:D
marry me!I NEED YOU!i love you
Itabidi nikubali 2 maana nina stress imejaa gunia, lakini hapo kwenye ratio mmmmmh! roho inauma roho inauma lakini wivu sina, when is the big day???????
 
kaka hii iko Ndani ya Loitokitok Kenya!! karibu na Tarakea. Niliwasubiri pale Billionaires club ile Tar: 20. nikaona ziii. ilikuaje tena hamkuja?

vivian, mbona ulitutenda hivyo? ngalia PM.
 
Back
Top Bottom