Nimekaa nimefikiriaaaaaa hivi Taifa Stars walishawahi kucheza mechi ya kisasa?

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,118
2,555
Sijawahi kuona Taifa Stars kucheza mechi ambayo naweza nikasema "Aisee Taifa Stars leo wamecheza mpira wa kisasa sijapata kuona au mechi ya kisasa na ya kufurahisha kama walivyocheza Uganda na Rwanda jana"

Nadhan hata hiyo rekodi hatujawahi kuwafikia.
 
Back
Top Bottom