Nimejisikia faraja SAMUNGE

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
CIMG6382.JPG CIMG6425.JPG CIMG6461.JPG CIMG6403.JPG CIMG6401.JPG CIMG6383.JPG CIMG6385.JPG CIMG6476.JPG CIMG6444.JPG CIMG6406.JPG CIMG6405.JPG CIMG6402.JPG CIMG6393.JPG CIMG6384.JPG CIMG6448.JPG CIMG6385.JPG CIMG6385.JPG CIMG6382.JPG

Hali ya sasa kwa Babu ipo shwari ukifika inakuchukua muda mchache kupata kikombe kisha unageuza. Safari ya magari mengi kutoka Arusha Mjini ni usiku na kunako alfajiri upo kwa Babu..ukiweza unasikilza mawaidha yake kabla ya kujimiminia kikombe.
Msafara mrefu kwa sasa unasababishwa na wafuata huduma toka nchi za jirani hasa Kenya, Matatu toka Kericho, Nairobi Naivasha nk yanafika Samunge sasa. Fedha alizotoa Magufuri zimewezesha kukarabati barabara toka mto wa Mbu mpaka kwa babu japo vumbi ni jingi sana barabarani hasa kwa magari madogo kama saloon na Noah zinaweza kukwama kwenye vumbi.
 
means this time no action,
Conquest-jifarjini na raha zenu mumekula nanasi bila kumenywa sasa hoo natoka damu mdomoni
"DONT GAIN YOUR WORLD AND LOSE YOUR SOUL -bob marley
 
samahani kwa kupita huku kwenye habari za washirikina. samahani mjadala huu nawaachia nyinyi wenyewe washirikina na mnisamehe kama ukweli utawaumiza.
 
samahani kwa kupita huku kwenye habari za washirikina. samahani mjadala huu nawaachia nyinyi wenyewe washirikina na mnisamehe kama ukweli utawaumiza.
mnafiki mkubwa ww ulishaona wp nuru na giza vikakaa pamoja? Ww ndiyo mchawi uwezi kuwa karibu na utukufu wa Mungu au kwenye maswala yanayo muhusu mungu wakati ww ni mpinga kristo
 
Hivi huyu babu anatibu kweli au mnapoteza tu muda wenu na Pesa zenu bila sababu za msingi????
Mbona hakuna hata mmoja aliyejitokeza kushuhudia kuponywa na huo mti shamba wa "Babu"???????????
 
samahani kwa kupita huku kwenye habari za washirikina. samahani mjadala huu nawaachia nyinyi wenyewe washirikina na mnisamehe kama ukweli utawaumiza.
Yote yawezekana kwa Imani. Ukiamini utapona, haihitajim kusimama na kushuhudia kama umepona kwani hata kupitia dawa za Hospitali na maombezi ya Kidini sio wote wanapona kwa wakati mmoja. Soma hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/131013-dawa-ya-babu-kweli-inatibu;wachunguzi-muhimbili.html uamini yanayosemwa.
 
View attachment 32297View attachment 32311View attachment 32310View attachment 32309View attachment 32308View attachment 32306View attachment 32307View attachment 32304View attachment 32303View attachment 32302View attachment 32301View attachment 32300View attachment 32299View attachment 32298View attachment 32312View attachment 32307View attachment 32307View attachment 32297

Hali ya sasa kwa Babu ipo shwari ukifika inakuchukua muda mchache kupata kikombe kisha unageuza. Safari ya magari mengi kutoka Arusha Mjini ni usiku na kunako alfajiri upo kwa Babu..ukiweza unasikilza mawaidha yake kabla ya kujimiminia kikombe.
Msafara mrefu kwa sasa unasababishwa na wafuata huduma toka nchi za jirani hasa Kenya, Matatu toka Kericho, Nairobi Naivasha nk yanafika Samunge sasa. Fedha alizotoa Magufuri zimewezesha kukarabati barabara toka mto wa Mbu mpaka kwa babu japo vumbi ni jingi sana barabarani hasa kwa magari madogo kama saloon na Noah zinaweza kukwama kwenye vumbi.

good newzzzzz
 
Back
Top Bottom