Nimejiaandaa vyema kumtoa Malocha Jimbo la Kwela.

mwanamfipa

Member
Aug 31, 2012
32
8
Ndugu WanaKwela wote na wapenda maendeleo wa Rukwa na Jimbo la Kwela naombeni sapoti yenu ilikufanikisha azma yangu ya kumuondoa Malocha kwani ni kikwazo kwa maendeleo ya jimbo la kwela.

Kuna mambo amekuwa akiyaendekeza kama, kuwalinda watendaji wa kata wezi...amabao wanavitabu feki vya michango ..kwa maslahi ya kisiasa
 
naomba jina lako halisi coz kuna jamaa naye alishatangaza nia anaitwa samwel mrwanda kwa tiket ya cdm
 
Mim naitwa James Yatenga Simaleka wa Kalambanzite...si gamba, msomi na mwenye mwono wa mbali...mambo yanayo nikera jimboni kwera hasa ni tabia ya mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya S/wanga v kupandikiza watendaji wa kata wenye vitabu feki vya mapato yanayoingia mifukoni mwao....nao watendaji malocha anawalinda kwa sabab zake za kisiasa...mfano mtendaji wa kata wa Mpui Kalyelye..amekuwa mwizi na wanamlinda malocha na Mkurugenzi..
 
yap comrade Mrwanda takutafta tupeane mikakati..kwani ninadata nyingi sana za uozo wa jimbo letu...kuna watu pale wameliua jimbo..
 
Kwanza pole na wezi wa mchana kweupe kama ni kweli, Pili kama kweli umejipanga kumg'oa huyo Mh. tayari ungekuwa umekwisha wang'oa kwanza hao watendaji wa Kata kwa kutumia wananchi wa sehemu husika kama una uthibitisho wa kutosha hata kama Mkurugenzi anawalinda , tumia nguvu ya umma ili waondolewe kwanza hao wanaolindwa, ndio njia itakuwa rahisi kumg'oa huyo Mh. vinginevyo mategemeo yako hayatafanikiwa. Huu ndio muda muafaka kwa kuonyesha umahili wako.
 
Mim naitwa James Yatenga Simaleka wa Kalambanzite...si gamba, msomi na mwenye mwono wa mbali...mambo yanayo nikera jimboni kwera hasa ni tabia ya mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya S/wanga v kupandikiza watendaji wa kata wenye vitabu feki vya mapato yanayoingia mifukoni mwao....nao watendaji malocha anawalinda kwa sabab zake za kisiasa...mfano mtendaji wa kata wa Mpui Kalyelye..amekuwa mwizi na wanamlinda malocha na Mkurugenzi..

Uli kwi mkombe, tutaftane sisi ndio wadau wa hilo jimbo...:becky:
 
Hata katiba ya nchi inaruhusu mwananchi wa kawaida kulinda rasilimali za taifa sio tu mpaka muwe wabunge, hebu anza na hili
 
Mim naitwa James Yatenga Simaleka wa Kalambanzite...si gamba, msomi na mwenye mwono wa mbali...mambo yanayo nikera jimboni kwera hasa ni tabia ya mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya S/wanga v kupandikiza watendaji wa kata wenye vitabu feki vya mapato yanayoingia mifukoni mwao....nao watendaji malocha anawalinda kwa sabab zake za kisiasa...mfano mtendaji wa kata wa Mpui Kalyelye..amekuwa mwizi na wanamlinda malocha na Mkurugenzi..

Ukifika mzindakaya sec utamkuta huyu jamaa anaitwa samwel mrwanda mwana harakat kwel kasoma sua
 
Mim naitwa James Yatenga Simaleka wa Kalambanzite...si gamba, msomi na mwenye mwono wa mbali...mambo yanayo nikera jimboni kwera hasa ni tabia ya mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya S/wanga v kupandikiza watendaji wa kata wenye vitabu feki vya mapato yanayoingia mifukoni mwao....nao watendaji malocha anawalinda kwa sabab zake za kisiasa...mfano mtendaji wa kata wa Mpui Kalyelye..amekuwa mwizi na wanamlinda malocha na Mkurugenzi..
Unataka kwenda kuwaletea wananchi maendeleo au kupambana na mtandao wa vitabu feki?Ukienda na mtaji wa vitabu feki unavyosema na ukaambiwa uthibitishe na ukashindwa basi ujue utaumbuka na kila ulichokipanga kitaonekana hakina maana,fanya mambo kisayansi na tangaza nia tu bila kushambulia watu
 
ushauri wangu kwangu kwako ni 1.naomba umtafute huyu aliyetangaza naye nia halafu mkae wote mwone mtasaidiaje chadema na kumpa mmoja nafasi ili kuepuka mgogoro 2.kutangaza nia sio mbaya ila nguvu nyingi muelekeze kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani kama kweli mnania kaka ili kuhakikisha chadema inashinda viti vingi 3.sio lazima ugombanie ubunge hata udiwani pia inafaa sana kaka 4.pia chunguza vya kutosha na kugundua weakness ya mbunge wako wa sasa ili mjue pa kuanzia 5.hakikisha unajua kero za kutosha zinazowakabili wananchi wa hapo
 
Ni vyema na haki kwa yeyote mwenye mtazamo wa mbali na sio kuwaza kuchuma pesa tu
wish you all da best
 
Umejiandaa vipi kupambana na mzee WACHEPA a. k. a Chrisant Majiyatanga Mzindakaya?! Maana yake huyu mbunge wa sasa ni mlinzi wa mali zake za kifisadi!
 
yap comrade Mrwanda takutafta tupeane mikakati..kwani ninadata nyingi sana za uozo wa jimbo letu...kuna watu pale wameliua jimbo..

Mrwanda nampata vyema ila wewe mtoa mada sikupati mi mwenyewe nina mpango huo ila mnanisikitisha kwani mnatangaza nia wakati CDM haina ofisi Laela ,Mpui,Kaengesa, mwaka jana nikiwa likizo nilianza harakati za kuhamasisha vijana hasa wale wa stend ya laela bahati mbaya likizo yangu ikawa fupi....sasa nawaomba tutafutane ili nikija tuanzishe vuguvugu........mi nilipata kufundisha miangalua sec......nasubiri nimalize kabachela kangu.......PEOOOOOOOOPLZ nije tumkimbize malocha
 
nene kwene munsite yonsi yane tuvwangane

Samwel mrwanda namfahamu sana mwana harakat mzuri toka enzi zetu tabora boys na hata hivyo jamaa amekuwa na ushawishi mkubwa kwenye baadhi ya vijiji kama miangalua, laela, ikoz, kalambazite,mpui kaengeza na vingine vingi. Huyu jamaa akishirikiana na wana cdm na wananchi wa jimbo la kwela ataweza mtoa malocha mbunge wa sasa.
 
Back
Top Bottom