Nimeitwa Interview NMB

kama na kaka msumeno huna kazi, hujaamua tu, na kama si hivo Tanzania inapoteza majembe ya muhimu sana maofisini.

Thanks mzee. bonge la ushauri kwa wote.
Asante sana mdogo wangu,, ni uzoefu tu na nimeshiriki mara nyingi kuajiri,,, na kwa sasa ni DR Congo hapa Goma nafanya kazi ,, namshukur Allah kwa hili na mengi anayonifanyia.. na ww nakuombea kwake akufungulie milango ya neema na rizk... ukiwa na swali rusha hapa au ni PM
 
Hii Nmb western zone, nayo nimekisa du! Mwaka huu ni full majanga kwangu!!

Hata usaili sijaitwa!
 
Usikate tamaa kaka, kama ipo ipo tuu inachelewa tuu. Utaitwa tuu hata areas nyingne
 
Uko wapi sasa mkuu??mbona hatuoni feedback na cku zinazidi kusonga>...
 
Bro, Nyam? Mbona kila kitu nimeripoti hapa tangu mwanzo wa interview mpaka hatua ya mwisho tunaposubiri kujulishwa watakaofanikiwa! Angalia page za juu za thread yangu hii utajionea kila kitu bro
 
Tuombe mungu mkuu rolla, Oral ilikuwa poa despite of some minimal frustrations na viuoga uoga vya hapa na pale ila namshukuru Mungu nilijitahidi kadri Mungu alivyonijalia. Sala zenu wakuu ili kijana wenu niwemo
 
Kuna ndugu yangu mmoja alini PM kuuliza baadhi ya mambo nimeona majibu yale niyaweke hapa pia najua kuna wengine yatawasaidia.. please note my answers are based on my expérience na Elimu kiasi nilojaaliwa na Manani nami naona si vibaya nikachangia kwa lile nilijualo haya hapo ndo nilomjibu ndugu yangu huyu ( maswali yake nayaweka kapuni)

  • Usiwe scared iamini taaluma yako.. nenda kifua mbele chukulia kwamba wewe pale kwenye interview ndo mjuvi wa mambo na unaenda kutoa darasa pale kupitia maswali yao , jiamini ndo silaha siku hio.. kumbuka miaka ulopitia kupata degree yako,mitihani kibao na assigments ulohangaika nayo mpaka kufika hapo ulipo.. interview ya nusu saa isiidhalilishe elimu yako wewe ni mjuvi na msomi amini hilo litakujengea confidence.
  • Kumbuka wewe si banker wala katibu muhtasi (yeye ni Geologist)... kazi yako ni ya kuchafuka wewe ni mzee wa miamba,, hata hivyo unadhifu ni muhimu ila usitoke kinadhifu saaaaana kama banker .. toka ki casual kama ulivyo panga suruali kardet na shati lisilo g'aa sana lakini safi na limepigwa pasi .. tai sio muhimu sana kwa geologist lakini kama waweza ipige pia ila sio ile nyeupe ya ''kinyasa'' (sorry watani zangu).. viatu poa tu ila vile vya wanchoma kumoyo sio deal , kuna viatu smart ''casual'' vya ngozi visivyo na madoido mengi... agalia sole ya viatu isiwe imelika upande kwa sana watu huangalia hayo pia hasa hizi interview zetu za kibogo... kwetu kwenye International NGOs hayo hayapo kwanza kwetu wengi hufanya by skype (ipo siku nitatoa darasa jinsi ya ku behave kwenye interview ya skype insha Allah)
  • I think ni mkosi usilitumie kabisa neno hili... maana anaekuuliza huwa anajua jibu pia... ukibahatisha atajua tu na ataku disqualify hapo hapo,, bora kusema sijui iliuoneshe kuwa wewe ni mkweli na mtu mkweli ni darling kwa muajiri
 
jamani hizi taasisi za fedha matangazo yao wanayaweka wapi maana tunasikia tu juu tu kwa wadau tu!
 
Mkuu taasisi za fedha hutoa matangazo yao ktk magazeti kadhaa hapa nchi ila pia mtandaoni. "Zoom tanzania" wamepoteza uaminifu sana kwa wadau watafuta ajira. Atleast fuatilia kupitia "ajira zetu" na "kazibongo" kupitia search Engine yoyote Google or else one.
 
Tuombe mungu mkuu rolla, Oral ilikuwa poa despite of some minimal frustrations na viuoga uoga vya hapa na pale ila namshukuru Mungu nilijitahidi kadri Mungu alivyonijalia. Sala zenu wakuu ili kijana wenu niwemo
hapa ndipo ulipoishia updates mkuu
 
Habari wana JF, Nimeitwa ktk interview ya NMB itakayofanyika siku kadhaa zijazo katika post ya Bank Officer. Sasa naomba msaada wenu wadau, mfano nikiulizwa mshahara ninaotarajia kulipwa niseme kiasi gani kulingana na rank ya mishahara ya NMB hasa kwa Bank Officer ili nisijichanganye?

Na hali ya mambo kwa ujumla Inakuwaje ktk Interview za NMB kwa wazoefu. Msaada tafahari.
Yakheee! we taja kile kipo rohoni ati kama milioni saba unusu we sema utakuwa umejitendea haki sasa hii ya kukuambia ukaseme kaji laki mbili unusu utakuja tena ati kutulaumu.......kwanza Hongera kwa kuitwa manake siye wengine school ya msingi tu majina kedekede mara usumani mara karimuubadu tena kama unadegeree yakhe we umetoka akyanane tena labda uamue kufeli tu ke intavyuuuuu.........olu ze besti ati.....
 
Mkuu taasisi za fedha hutoa matangazo yao ktk magazeti kadhaa hapa nchi ila pia mtandaoni. "Zoom tanzania" wamepoteza uaminifu sana kwa wadau watafuta ajira. Atleast fuatilia kupitia "ajira zetu" na "kazibongo" kupitia search Engine yoyote Google or else one.
We jamaa hii kazi ulipata? Au ndo upo busy na ku Debit and Credit?
 
mkuu [HASHTAG]#buhange[/HASHTAG] mbona hujaleta mrejesho mpaka sahv aisee, iliendaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom