Nimeitwa Interview NMB

buhange

JF-Expert Member
Oct 23, 2011
505
110
Habari wana JF, Nimeitwa ktk interview ya NMB itakayofanyika siku kadhaa zijazo katika post ya Bank Officer. Sasa naomba msaada wenu wadau, mfano nikiulizwa mshahara ninaotarajia kulipwa niseme kiasi gani kulingana na rank ya mishahara ya NMB hasa kwa Bank Officer ili nisijichanganye?

Na hali ya mambo kwa ujumla Inakuwaje ktk Interview za NMB kwa wazoefu. Msaada tafahari.
 
Mshara ni kuanzia 679 Na hauzidi hapo. We jitaidi ujue product zao mfano pesa fasta nmb mobile na nyinginezo
 
watakuuliza unaifaham kvp nbm? Na product wanazotoa. Utaambiwa aina za acc za nmb, ungependa ulipwe kias gan, je umeoa? Upo tyr kufany kaz kwa weled and so on. Nakushaur ingia net ya nmb na ujue nini wanachokifanya. Ts very simple mi nimepitia huko.
 
ijue taasisi uliyoomba kufanya kazi, wanataka kuona unaijuaje, ayo ya mshahara lipo ila sema we unachoeel, ila usitaje mil jua ndio kwanza unaanza.
 
ni umeitwa kwny oral o written kama written jiandae mandela alikufa lin na obama alikuja lin tz kama oral jipange vzuri all da best
 
Asanteni wakuu, mi' nimepigiwa tu simu nikaambiwa unatakiwa ktk interview ya NMB Western zone-Head office tabora, tar.06 may [i.e next tuesday] kwahiyo ndo maana nimekuja hapa jamvini nipate mchango wenu wakuu kwa wenyeji zaidi, maana si taaluma pekee bali michango ya uzoefu toka kwenu yaweza nisaidia ktk Interview hiyo. Niombeeni wadau mtaani kugumu
 
Duuuh! Wakuu written tayari tumepiga, asubuhi ya leo saa 9 alasiri majina yanatoka kwa ajili ya second session kesho watakao jaliwa. Nitarudisha feedback wakuu hata kama sintokuwa mmoja wa wateuliwa ktk raundi two. Mungu nisaidie
 
Kila la heri kaka, km unahitaji hiyo kazi kwa dhati kabisa basi unaipata
 
Aksante mkuu, written ilikuwa poa ingawa ndo hivyo kwenye wengi kuna mengi tuombe Mungu mkuu, masaa mawili yajayo kitakuwa kimeeleweka kama YES au NO, Mungu ni muweza bro!
 
Dogo fanya yafuatayo
  • vaa kinadhifu lakini usipitilize.. kama ni saa ya mkoni basi iwe ya kawaida ila isiwe ya elf 2,, na hala hala usipende kuingalia wakati wa mahojiano maana hupeleka ujumbe wa '' humalizi tu?''
  • Usikae kwenye kiti bila kuambiwa kaa hapa....
  • wasalimie wote lakini usiwape mikono,,
  • tabasamu ki professional na si kilokole
  • usioneshe dhehebu gani wasali,,,, kuwa neutural
  • relax ,, weka uso wako uwe angavu... usionenshe khofu
  • jibu unacho ulizwa na usibahatishe majibu,,, i think??? hairuhusiwi kama hujui sema sijui ila naweza kujifunza
  • usipake mafuta ya kunukia sana kama perfume ila kikwapa pia hakilipi
  • kenua na usicheke kwa sauti hata ukichomekewa kichekesho
  • usinyenyekee sana hasa wakati wa kusalimian an accessive respect sio professional
  • toa mifano kiasi wakati wa kujibu maswali ili uoneshe upeo wako wa mambo
  • jiweke mbali na siasa, kuchomekewa mambo ya siasa wambie wewe si mjuvi wa hayo
  • ukiulizwa mshahara wambie according to their salary scale which yoiu belive ni nzuri .. ila peleleza ujue kima ili ukikomaliwa ukitaje lakini sio exactly ...
  • ukiulizwa uko tayari kuanza lini wambie next week... usjibu hata sasa hivi utaonesha jinsi ilivyo desparate na not organised na maisha yako pia
mengine watachangia wengine
 
akifatilia yote;kazi Atapata.
 
Thank you sana, ngoja nifanyie kazi ushauri wako na mimi nina interview mahali this week.
 
asante sana kaka msumeno kwa maelezo yako yakinifu na yaliyojitoshereza. Naahidi hapa jamvini kwamba kesho nitafuata ushauri na mawazo yenu kama mlivyochangia hapa. Namshukuru Mungu majibu ya written nimeshinda jumla tukiwa wateuliwa 50 kwenda session II ya Oral, kesho asubuhi tunamalizia Oral. Maombi yenu wadau. Kama kawaida nitarudi jamvini kutoa neno la shukrani hata kama bahati haitakuwa yangu katika Oral interview.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom