nimeipenda tarifa ya habari ya itv leo

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Musoma na rorya wamepewa kivuko, lakini cha ajabu wametofautiana kivuko kilale wapi. Musoma wanataka kivuko kilale Musoma na Rorya wanataka kivuko kilale kwao.
Mbaya zaidi kamati ya ccm imekaa kikao kujadili langi ya kivuko wakidai rangi za kivuko zinafanana na rangi za chadema. Wameongeza kwamba kilipo letwa vijana walikua wakishangilia wakionesha alama ya vidole viwili wakati kivuko waliokuwa wabunge wa ccm ndo walio kiomba. kivuko kina rangi za blue, nyeupe, nyeusi na nyekundu kwa chini.
Mia
 
Bwa aha ha ha ha ha ha! Hii M4C kweli ni noma. Yaani kila mtu hadi makampuni ya uhandisi wakitazama, wakiwaza wanaiona M4C na rangi zake nne - rangi bora zaidi kwa wakati huu tulio nao. The magic colors RED, BLUE, BLACK, and WHITE.
 
Jamaa wanataka kutoa tamko. Hivi rangi tu imekua noma. Je bendera inanyopepea juu si nia taifa. CCM acheni mawazo mgando.
 
Hawa CCM wangekuwa na uwezo, damu zao zingekuwa na rangi ya kijani!
 
Kwa kuwa wao ni dhaifu hilo ndio tatizo kubwa mungu awasamehe bure kwa kuwa hawajui walitendalo na ndio maana ni wadhaifu.
 
Back
Top Bottom