Nimeingia choo cha kiume bila kujua

Pole bi dada, nakumbuka umesema kuna rafiki aliyewashauri mfunge ndoa kwa bomani,
sasa basi ushawahi kumweleza hayo matatizo maana huenda ni jamaa ake wa karibu aweza zungumza nae
mkasolve hilo tatizo.

hakuwa rafiki kihivyo ni mtu ambaye tuliintroduziwa na friend yeye ndo atueleze maisha ya huko tuendapo.
labda ningefurahi niambiwe naanzaje hata hizo process za kuvunja hiyo ndoa maana yamenifika kooni.
 
Pole sana. Kawaida ni kwamba ukiingia choo cha kiume kama ni haja ndogo itakubidi uende ukiwa umesimama la ni haja kubwa ingia funga mlango na umalize haja zako. Kama ungegundua ukiwa mlangoni ungeishia hapo mlangoni. Kwa kuwa umeshaingia na kufungua zipu Kazi ni Kwako. Si dhihaka ni falsafa chambua kwa makini utanielewa
 
  • Thanks
Reactions: Hun
Wewe Hun hapo umewekwa mtu kati, ila mbona njia ya kutokea ipo!!! Usiishi kama huna wazazi, ukipambana nae huko ughaibuni atakuumiza huyo bwana, we rudi huku, kubali kuwa ulikosea kwa kutowasikiliza wakubwa zako, itisheni kikao cha familia zote mbili, basi useme matatizo yote na uamuzi wako. Swala likishakuwa wazi kila mtu akajua hata jeuri ya huyo bwana itakwisha!!!! Hapo anajifanya mpana kama meza za casino sababu huko nje mko peke yenu. Kuna mtuhivohivo ila kikako kilivokaa akaambiwa OLE WAKE MWENZIE APATE MATATIZO NDO ATAWAJUA HIYO FAMILIA NI KINA NANI!!!!!! Nyambaaaaaf kabisaaaa!
 
snowhite naomba nikujibu kama ifuatavyo;

- ili tupate visa
- kwa huko nje tuliishi pamoja, kwa hapa kwetu bongo kila mmoja anaishi kivyake,mimi bado niko kwa wazazi.mimi ndo simtaki tena
-yeye hana tatizo la dini hata kubadili dini anaweza ila ndugu zake ndo hawataki yeye afunge bomani.shida aliyonayo ni kunipiga, hajali hisia zangu, hampendi mama yangu ana kazi ya kumtumia msg na kumwambia yeye ndo kasababisha mimi nimwache,ni selfish - kwao kukiwa na shida tutatue ila kwangu kukiwa na tatizo anapotezea nk nk nk
-tulishirikiana kama wapenzi
-ni taratibu zipi nifwate na ndugu wasijue?maana hakuna anayejua sisi tulifunga ndoa na ndo mana kila mmoja anaishi kivyake

binti,
ulishafanya kosa, waombe radhi wazazi wako then ushughulikie talaka, au wewe unaona heri kipi hapo? Ndugu wajue ila ufanikiwe kujinusuru kwa hilo bazazi au ufanye siri huku ukiwa kifungoni?
Mwanaume anayemdharau mama yako wewe wa nini?
 
  • Thanks
Reactions: Hun
Katika hiyo miaka saba mna watoto?

Mimi naona huyo ni mumeo...si mlifunga ndoa na mkaenda ishi wote nje miaka saba?

Hakuna jinsi ni talaka tu ndio itakuweka huru...other wise huyo kila utakae date nae atakuwa anatembea na mke wa mtu.


shida ni kwamba amekuwa ananiabuse physically and emotionally,nimevumilia ila nimefika mwisho.sasa nimeamua kila mtu aanze maisha upya,anasema nimempotezea muda hatakubali kuniacha kirahisi itanicost forever mana atatumia kile cheti
 
  • Thanks
Reactions: Hun
Kama ungejua hiyo talaka ungeidai ukiwa huko majuu; ingekuwa rahisi tena ukiwa na evidence za abuses;

Hapa Bongo itakusumbua kweli kweli;

Nachoona dawa ni kufanya maisha yake yawe living hell; na cha kwanza ni kutokuendelea kuficha kuwa mmeoana; hii itasaidia mpate support ya pande zote mbili ku speed up divorce kwani na wazazi hawataki hiyo ndoa.

Kuendelea kufanya siri kutakufanya uwe mtumwa wake forever...hata akioa utakuwa second wife (sijuhi kimada) si ana makaratasi ya ndoa bana.


hakuwa rafiki kihivyo ni mtu ambaye tuliintroduziwa na friend yeye ndo atueleze maisha ya huko tuendapo.
labda ningefurahi niambiwe naanzaje hata hizo process za kuvunja hiyo ndoa maana yamenifika kooni.
 
  • Thanks
Reactions: Hun
Nilivyoelewa, unakerwa na mahusiano ila unaogopa kukata mqhusiano kwa kuwa umepigwa mkwara. Ukiwa unahisi anamaanisha anachosema, vunja mahusiano kisha nenda polisi kutoa taarifa.
 
  • Thanks
Reactions: Hun
hapo hapana ndoa kiukweli..., mlicho nacho ni karatasi tu.....

kwa kuwa mlichofanya kinafanana na ndoa ambayo ilifungwa serikalini, uko huru nenda mahakamani uvunje hiyo ndoa ndipo uingie katika ndoa nyingine! Na kwa kuwa umeshaishi katika nchi ya watu kwa miaka hiyo naamini inawezekana uko-eligible kupata uraia au ukiolewa na lijamaa la huko ni sawa kabisa bado unaweza kuwa huna pingamizi... Fuatilia kama nchi uliyomo ina aina gani ya mazingira ambayo yanaweza kukupa wewe hadhi ya a long term resident..
 
  • Thanks
Reactions: Hun
shida ni kwamba amekuwa ananiabuse physically and emotionally,nimevumilia ila nimefika mwisho.sasa nimeamua kila mtu aanze maisha upya,anasema nimempotezea muda hatakubali kuniacha kirahisi itanicost forever mana atatumia kile cheti


Once a man raise his hand on you,walk away. Nice decision
 
  • Thanks
Reactions: Hun


I know you think I'm afraid
To take a chance, go to the deep end
Usher baby
Turn the lights off

These waters can get a little busy
But I got experience
Don't mind trecking through the storm
Long as I know that you're here with me baby
Shedding all your innocence
I see the walls are looking like they might precipitate
Until i'm in so deep, it's up to my waist
But I promise girl I ain't afraid

It's raining inside your bed
No parts are dry
Love makes you so wet, your legs, your thighs
And ever since we first met I knew that
I, I knew I was ready baby to take that dive

Can't help it, no
I want you to feel me
Every little bit of me baby
I don't need a life saver
Baby going deeper ain't gon kill me
And I know they are shagging for me
I see the walls are looking like they might precipitate
Until i'm in so deep, it's up to my waist
But I promise girl I ain't afraid

It's raining inside your bed
No parts are dry
Love makes you so wet, your legs, your thighs
And ever since we first met I knew that
I, I knew I was ready baby to take that dive

I'll be inside when the tides are rolling baby
You'll be my place to hide, all night
I'm not afraid to try
And knew I, don't mind playing in the rain
And I was hoping that I get to take that dive

It's raining inside your bed
No parts are dry
Love makes you so wet, your legs, your thighs
And ever since we first met I knew that
I, I knew I was ready baby to take that dive
 
Last edited by a moderator:
alijuaje kufunga ndoa bandia na
kwanini anashindwa kuitengua.

sembuse zenye utata za mchumba wa fulani zilitenguliwaije iwe ya kwake. hajaamua tu, hiyo ni very simple.

Nimegundua ananichosha

Kama anataka 'nyeupe/nyeusi' aeleze kinaga ubaga

Hii cd inaruka point, keshapata mwanamme mwingine, au sijamwelewa??
 
Kwani wewe unamuacha ili ukaolewe na mwanaume mwingine? Muhimu ni kutoka kwanza kwenye hiyo abusive 'marriage' kwanza. Na kama mpo nyumbani, achana na hiyo dependant visa, ukihitaji kusafiri utaomba ya kwako. Jipange ujikombie hapo, siku ukitaka kuoleqa utajipanga upya.
wakati wote akinipiga na kuniabuse emotionally nilikuwa namwambia kuhusu mapenzi na nini.kwanza hatujawahi kuongelea habari cha cheti mpaka yeye jana ndo kaniambia kuwa atanikomoa.sijui najinasuaje sasa nimeloba stepu uuwii
 
  • Thanks
Reactions: Hun
shida ni kwamba amekuwa ananiabuse physically and emotionally,nimevumilia ila nimefika mwisho.sasa nimeamua kila mtu aanze maisha upya,anasema nimempotezea muda hatakubali kuniacha kirahisi itanicost forever mana atatumia kile cheti
kwani lazima uishi kwa ndoa tena atakusumbua kanisani tu na kacheti kake wewe tafuta mtu mwingine chapaneni mzigo kwa utamu wenu,unatishika na hako kabazazi kasenge.
 
Kwani wewe unamuacha ili ukaolewe na mwanaume mwingine? Muhimu ni kutoka kwanza kwenye hiyo abusive 'marriage' kwanza. Na kama mpo nyumbani, achana na hiyo dependant visa, ukihitaji kusafiri utaomba ya kwako. Jipange ujikombie hapo, siku ukitaka kuoleqa utajipanga upya.
ikiwezekana itafute hiyo hati uichome moto,yaani ameniudhi huyo mjinga bahati yake wewe sio dada yangu wanaume wengine sijui mashoga.
 
  • Thanks
Reactions: Hun
upo kwa wazazi wako, kama umeamu kuachana nae kata mawasiliano kabisa, ila usisahau kutoa taarifa kwa piliccm ili uwe na rb wasije wakakubarlow
 
  • Thanks
Reactions: Hun
Nilikuwa kwenye dimbwi la mapenzi na kijana mmoja,kwa kipindi hiko nilikuwa ninampenda mnoo,ikatokea ya kuwa tunataka kuoana lakini kwa kuwa tulitofautiana imani basi ndugu zake waliweka kizuizi wakitaka mimi ndo nibadilishe dini.
Sisi tulishaamua ya kuwa tutafunga ndoa ya bomani lakini hawakutaka hilo.

Siku zilienda na likatujia wazo ya kuwa tuondoke tukaishi nje ya nchi,tukafanya taratibu zote za safari na wakati tuko kwenye process hizo kuna rafiki ambaye alikuwa hiyo nchi tunayoenda alitushauri ya kuwa tufunge ndoa ya bomani halafu tukabadilishe cheti kiwe 'copy of an entry' yaani international marriage certificate ili visa ikiexpire mmoja wetu ataweza kuapply kama dependant. Kwa kweli tulifanya hivyo na kila visa ikiisha mimi ndo nilikuwa na apply kama dependant.

Sasa tatizo limekuja hivi, tangu tuanze mahusiano tuna miaka saba,tulivyofika huko kijana akapotezea maswala ya ndoa na mi nikakaa kimya sijamgusia,mwaka jana tukaamua kurudi nyumbani bado mwenzangu hagusii neno ila maswahiba ya hapa na pale ndo mengi. Ikafikia kipindi nikajianalyse na nini nataka maishani nikamwambia kila mtu ashike ustaarabu wake,haa!!mwenzangu hataki kuamini kuwa namuacha maana alikuwa anajua ninampenda kuliko kitu chochote na alikuwa akifanya maujinga yake anadiriki kusema kuwa siwezi kumwacha nikimwacha yeye sitopata mwanaume mzuri na mwenye maendeleo kama yeye. sasa hivi ananitishia kuwa hata nikiolewa nitapata shida maana bado ana cheti cha ndoa atanifanyia fujo nisiwe na amani. Mwe!!nimeingia choo cha kiume bila kujijua, na sijui natokaje.Huruma mie Hun jamani looh!

Pole kwa yalikupata, acha nae nae huyo mkaka, vuta subira utapata atakayekupenda kwa dhati.
 
  • Thanks
Reactions: Hun
Hun,mwanaume kuingia choo cha kike ndio balaa maana unaweza toka ukiwa umevalishwa kanga lakini "mnyama" pale mbele atakuumbua kwa jinsi alivyotuna na kuvimba ila kwa mtoto wa kike kuingia choo cha kiume sio hatari maana kama ni raha mtapata wote na wanaume utakaowakuta humo!lol
 
Back
Top Bottom