Nimeingia Arusha kimya kimya napata kitu Kwa Muromboo

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
IMGP1093.JPG
IMGP1101.JPG
IMGP1100.JPG
IMGP1095.JPG
IMGP1148.JPG
IMGP1088.JPG
IMGP1068.JPG
 
haya bana......tutasema nini sie.......
Preta, niko na machalii zangu, lakini kuna nafasi moja imebaki, unakaribishwa..................
Nimemfuata mama Ngina huku Arusha, maana Dar hapakaliki
 
Preta, niko na machalii zangu, lakini kuna nafasi moja imebaki, unakaribishwa..................
Nimemfuata mama Ngina huku Arusha, maana Dar hapakaliki

asante sana......
hapo pa blue nini shida.......?
 
ahaa....hiyo ni kweli......na hii hali yetu ya hewa karibu sana......nadhani utaipenda......
Nawasubiri wenyeji wanikaribishe na kunionyesha viwanja vya Nyama Choma.
Sijui Kwa Sifaa, bado iko Nyama Choma?
Nmesahau Matongee Cannival sijui nako kuna kitu gani kipya,..................................
 
aisee nenda kwa tolu sakina karibu na carwash ya sunda hutajuta.
 
Back
Top Bottom