Nimeichoka clouds fm kwa unafiki

Tumeshachoshwa na malalamiko haya ya kipuuzi kila kukicha cloud vile Kibonde hivi, nyinyi ni wapenzi wa clouds na ndio maana mnasikiliza hiyo redio ya mashoga, wakiwakera wana page zao facebook na wana blog zao pelekeni malalamiko yenu huko. Fanculo.

Ha ha ha ,mkuu,umenichekesha!eti Fanculo,tena,fanculo madona!
 
Sikuelewi! Inakuaje unasema chakula kina mawe huku unaendelea kukila? Inakuaje unasema mboga ina chumvi nyingi huku unaendelea kuchovya tonge? Mwana JF amka wenzio hatuusikii upuuzi huo kwakuwa tulisha hama mabondeni siku nyingi. Redio Statio zenye maadili zipo nyingi, achana na watu wenye taaluma za majungu wanaujua ukweli lakini kwa kulinda maslahi yao wanaziba masikio na kufungua midomo michafu.
Nampongeza MR. II a.k.a Sugu kwa kutufungua macho kwani kabla ya hapo sikuelewa ni kwanini Raisi wa Nchi hii Mheshimiwa JK aliamua kuikabidhi Studio iliyotolewa na Wahisani kama msaada kwa wasanii wote Kampuni ya Prime Times Promo iliyochini ya Clouds Ent. Unategemea nn hapo?
 
Back
Top Bottom