nimeibiwa simu yangu: nifanyeje?

Mkuu bora kama ilikuwa ya Mchina maana huna machungu na utakamata ingine fasta
 
kanunue ingine mkuu ataukiwa na imei no zinabadilishwa unaweka ingine so akuna jawabu ingia dukani nunua ingine ndomaisha bora ya jk kugawana umaskini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom