Wakuu naombeni msaada wa jinsi ya kutrack iphone yangu imeibiwa lisaa limoja lililopita,tayari haipatikani.mwenye kujua tafadhali naomba anisaidie
Usisubiri uibiwe wakati kuna software kibao za kufanya tracking ikiwa simu yako imeibiwa. Nunua kupitia Visa/MasterCard Card na download kwenye simu yako. Mie natumia Guardian . Mfanyakazi wangu wa ndani aliinibia Nokia N97 lakini nilimpata.Jamani mwenye kujua tunaomba atuelimishe leo kwake kesho kwangu
hyo ndio eco-system